Mwezi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Mstari 44:
== Mwezi kama kipimo cha wakati ==
[[Picha:Mond Phasen.jpg||framed|none|Awamu za mwezi kuanzia [[mwezi mwandamo]] (1) kupitia [[hilali]] (2), robo ya kwanza, nusu mwezi, robo ya tatu, [[mwezi mpevu]] (5) hadi mwezi mwandamo tena]]
Uso wa mwezi jinsi unavyoonekana duniani hubadilikabadilika. [[Mwezi mpevu]] unaonekana kama duara kamili la kung'aa lakini baada ya kuonekana hivi umbo lapungualinapungua kila siku hadi kutoonekana kabisa na hali hii huitwa [[mwezi mwandamo]]. Baadaye mwezi unaonekana tena kama [[hilali]] nyembamba na kuongezeka hadi kuwa duara tena. Muda wa mabadiliko yote kupita mara 1moja ni siku 29 1/4na robo.
 
Muda wa mabadiliko kati ya mwezi mwandamo hadi kupotea na kuwa mwezi mwandamo tena ni kati ya siku 28 -hadi 29. Kipindi hiki kinakumbukwa kirahisi, kinatazamiwakinaonekana nakwa watu wote.Hivyo wakatimuda wa uleulekurudi kwa hiyoMwezi pamoja na kipindi cha siku kilikuwaulikuwa kati ya vipimo vya kwanza vya wakati kwa [[binadamu]] pamoja na kipindi cha siku.
 
Inawezekana kwambakipimo [[juma]] lacha siku saba lilianzakatika juma kilianza kwa kuzingatia [[robo]] 4 za mwezi wawenye siku 28.
 
Awamu za mwezi zilikuwa vipindi vya kuhesabu wakati tangu mwanzo wa kalenda. Hadi leo kuna [[kalenda ya mwezi]] ndiyoambayo ni [[kalenda ya Kiislamu]]. inayopangaInapanga wakati kutokana na hali halisi ya awamu za mwezi.
 
 
{{Wikinyota}}
 
== Safari kwenda mwezini ==