Umoja wa Kimataifa wa Astronomia : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d Muddyb moved page Umoja wa kimataifa wa astronomia to Umoja wa Kimataifa wa Astronomia over redirect: +Kurasimisha kulingana na mapendekezo ya ASAT
Marekebisho machache
Mstari 1:
[[Picha:Internationale Astronomische Union Logo.svg|250px|thumbnail|Nembo la I.A.U.]]
[[Picha:Opening Ceremony IAU2006GA.jpg|thumbnail|Mkutano Mkuu wa I.A.U. wa mwaka 2006 mjini [[Prague]] ambako kundi mpya la "[[sayari kibete]]" lilitambuliwa]]
'''Umoja wa kimataifaKimataifa wa astronomiaAstronomia''' (kifupi: Ukia'''UKIA''') (kwa [[Kiingereza]]: International Astronomical Union - '''IAU''' au Union astronomique internationale, UAI) ni shirika la kimataifa linalounganisha mashirika ya wataalamu wa [[astronomia]] kutoka nchi mbalimbali. Lilianzishwa mwaka 1919 na ofisi yake iko mjini [[Paris]], [[Ufaransa]].
 
Shabaha ya umoja ni kuendeleza na kuhifadhi elimu ya astronomia. Wanachama ni wataalamu waliosoma sayansi hii na kufanya kazi ya uchunguzi na kufundisha katika vyuo vikuu au taasisi za astronomia. mwaka 2008 idadi ilikuwa wanachama 9623 katika nchi 86.