Mwezi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Mstari 57:
== Safari kwenda mwezini ==
[[Picha:Apollo 11 bootprint.jpg|thumb|right|180px|[[wayo|Nyayo]] za mwanaanga [[Edwin Aldrin]] (Apollo 11) mwezini.]]
Mwezi wetu ni [[gimba la angani]] la kwanza ambako wanadamu wamefika. Tarehe [[21 Julai]] [[1969]] [[mwanaanga]] [[Mmarekani]] [[Neil Armstrong]] alikuwa mtu wa kwanza wa kukanyaga uso wa mwezi. WamarekaniWanaanga wengine 11 walimfuatakutoka Marekani waliendelea kufika mwezini hadi mwaka [[1972]]. Baadaye safari za kwenda mwezini hazikufanywa tena kutokana na gharama kubwa.
 
 
{{Wikinyota}}
 
== Mwezi mali ya watu? ==