Zubani Junubi : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
No edit summary |
No edit summary |
||
Mstari 23:
Zubani Junubi ilijulikana kwa [[mabaharia]] [[Waswahili]] tangu miaka mingi wakifuata njia yao [[Bahari|baharini]] wakati wa [[usiku]] kwa msaada wa nyota. <ref>ling. Knappert 1993</ref>. Walipokea [[jina]] hili kutoka kwa [[Waarabu]] wanaotumia [[neno]] <big> الجنوبي الزبان </big> ''al-zuban al-janubi '' kwa maana ya « koleo la kusini » yaani koleo la [[nge]]. Maana yake nyota hii pamoja na nyingine za Mizani zilihesabiwa zamani kuwa sehemu ya Akarabu (Nge) na kutazamwa kama makoleo yake. Hivyo kundinyota lote la Mizani bado liliitwa “Χηλαι” (helai - makoleo) na [[Klaudio Ptolemaio]] katika [[Almagesti]]. Kwa nyota aliita “ile angavu kwenye ncha ya koleo la kusini”<ref>[[Kigiriki]]: τῶν ἐπ´ ἂκρας τῆς νοτίου χηλῆς ὁ λαμπρός ''toon ep akras tes notiou heles ho lampros'', Heiberg (1903) uk. 106</ref>.
Kwa matumizi ya kimataifa [[Umoja wa Kimataifa wa Astronomia|
Alfa Librae ni [[jina la Bayer]]; [[Alfa]] ni [[herufi]] ya kwanza katika [[alfabeti ya Kigiriki]] lakini Zubani Junubi ni nyota angavu ya pili na hii ni mfano ya kwamba [[Johann Bayer|Bayer]] hakufuata [[mwangaza]] kamili wakati wa kuorodhesha nyota.
Mstari 46:
[[Jamii:Nyota]]
{{wikinyota}}}}
|