Mbwa Mkubwa (kundinyota) : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
→‎Nyota: + jedwali
Mstari 4:
 
==Mahali pake==
Mbwa Mkubwa iko karibu na kundinyota ya [[Jabari (kundinyota)|Jabari]] ([[:en:Orion]]) kwa upande wa kusini ya [[ikweta ya anga]]. Sehemu yake ya mashariki infikainafika kwenye [[Njia Nyeupe]]. Kundinyota jirani zake ni [[Akarabu (kundinyota)|Akarabu]] ''([[:en:Lepus (constellation)|Lepus]] au sungura)'', [[Munukero (kundinyota)]] ''([[:en:Monoceros (constellation)|Monocerus]])'', [[Shetri (kundinyota)|Shetri]] ''([[:en:Puppis (constellation)|Puppis]])'' na [[Njiwa (kundinyota)]] ''([[:en:Columba (constellation)|Columba]])''.
 
==Jina==
Mbwa Mkubwa ilijulikana kwa jina hili kwa miaka mingi kati ya mabaharia Waswahili waliotumia nyota kutafuta njia baharini wakati wa usiku.<ref>ling. Knappert 1993</ref>
 
Jina "Mbwa Mkubwa" latokanalinatokana na [[mitholojia ya Ugiriki ya Kale]] iliyoona hapa mbwa anayewinda pamoja na Jabari (Orion) na kumfuata Akarabu (sungura). Baadaye mbwa wa pili alibuniwa na Waroma. <ref>ling. Allen, Star-Names and their Meanings uk, 117</ref> na hapo kundinyota hizi mbili ziliitwa Mbwa Mkubwa na Mdogo. Majina haya yalitafsiriwa baadaye moja kwa moja kwa [[Kilatini]] kuwa Canis Maior na Minor na baadaye kwa [[Kiarabu]] kuwa الكلب الأكبر ''Al-Kalb al-akbar'' (Mkubwa) na ''al-asgar (Mdogo)''.
 
Mbwa Mkubwa ni kati ya kundinyota zilizotajwa tayari na [[Klaudio Ptolemaio]] katika karne ya 2 BK. Iko pia katikatika orodha ya kundinyota 88 zinazoorodheshwa naya [[Umoja wa kimataifa wa astronomia|Umoja wa Kimataifa wa Astronomia]] <ref>[https://www.iau.org/public/themes/constellations/ The Constellations], tovuti ya International Astronomical Union , iliangaliwa Julai 2017</ref> kwa jina la Canis Maior. Kifupi chake rasmi kufuatana na [[Ukia]] ni 'CMa'.<ref name="pa30_469">{{cite journal | last=Russell | first=Henry Norris | title=The New International Symbols for the Constellations | journal=[[Popular Astronomy (US magazine)|Popular Astronomy]] | volume=30 | pages=469–71 | bibcode=1922PA.....30..469R | year=1922}}</ref>
 
==Nyota==
Nyota angavu zaidi ni [[Shira]] (α Alfa Canis Maioris) inayojulikana pia kwa jina la kimataifa ya [[:en:Sirius]]. Hii ni pia ni nyota angavu zaidi kushinda nyota zote kwenye anga ikiwa na [[uangavu unaoonekana|mwangaza unaoonekana]] wa -1.4 mag na umbali wake na dunia ni [[miaka ya nuru]] 8.6 (parseki 2.64)
 
{| border="0" cellpadding="2" cellspacing="1" style="margin-left:0.5em; background:#CDC9C9;"