Nyotamkia ya Halley : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 7:
 
==Jina na utambuzi==
Jina limeteuliwa kwa [[heshima]] ya [[mwanaastronomia]] [[Mwingereza]] [[Edmund Halley]] aliyetambua ya kwamba nyotamkia aliyotazama kwenye [[mwaka]] [[1705]] ilikuwa ileile iliyowahi kutazamwa tayari. Halley alipoiona [[Anga|angani]] na kupima [[mwendo]] wake alitambua ya kwamba ilikuwa nyotamkia ileile iliyowahi kutazamwa katika miaka [[1682]] (na Arnold), [[1607]] (na [[Johannes Kepler]]) na [[1531]] (na [[Petrus Apianus]]). Kwa hiyo alitabiri kurudi kwake mnamo [[1758]]. Kweli ilionekana tena tarehe [[25 Desemba]] 1758, miaka 16 baada ya [[kifo]] cha Halley. Katika mwaka uliofuata [[Mfaransa]] [[Nicolas Louis de Lacaille]] aliiorodhesha kama "''comète de Halley''".
 
Katika utaratibu wa [[Umoja wa Kimataifa wa Astronomia]] ilipokea jina la '''1P/Halley'''. [[Namba]] '''1''' inataja nafasi yake ya kuwa nyotamkia ya kwanza iliyotambuliwa [[sayansi|kisayansi]], [[herufi]] '''P''' (ing. "''periodic''") inamaanisha ni nyotamkia inayorudi katika muda usiozidi miaka 200, '''Halley''' ni jina la mtambuzi. Nyotamkia zote zilizothibitishwa kuwa na [[obiti]] ya kurudia zimepokea namba pamoja na herufi P na jina la mtambuzi.
Mstari 14:
Wakati wa kupita karibu na Jua katika mwaka 1987 [[vipimaanga]] kadhaa vilirushwa juu na hasa ''[[Kipimaanga Giotto |kipimaanga Giotto]]'' kilifaulu kupata data nyingi. Kiini cha Halley kina ukubwa wa [[kilomita]] 15.3 × 7.2 × 7.2. Uso wake ni mweusimweusi na mwekundu kidogo. Kutoka upande wa uso uliotazama Jua kulikuwa na michirizi ya gesi na vumbi inayounda “mkia” wake. Mata ya michirizi hii ilikuwa hasa [[maji]] na [[monoksidi kabonia]], pamoja na [[methani]] na [[amonia]].
 
Mwili wa nyotamkia ni mchanganyiko wa mawe, vumbi na barafu. Ikifuata obiti yake na kukaribia jua kiasi cha kutosha inaanza kuonekana kama nyota ikiakisi nuru ya jua. Ikikaribia jua zaidi sehemu ya barafu yake inaanza kuyeyuka kuwa mvuke unaotoka kwenye kiini cha nyotamkia yenyewe na kuizungusha kama angahewa. Gesi hii inasukumwa na [[upepo wa Jua]] (shinikizo ya miale ya nuru itokanayo katikana Jua) na kuonekana kama "mkia". Mkia huu unaelekea kila wakati upande usio wa jua kwa sababu upepo wa jua unasukuma mvuke upande ule.
 
== Mipito ya Nyotamkia wa Halley kwenye Periheli iliyorepotiwailiyoripotiwa==
Nyotamkia inaonekana kutoka DuniaDuniani wakati inakaribia [[periheli]] yake, yaani sehemu ya obiti ambakoambayo ikoipo karibu zaidi yana [[Jua]]. Tarehe ambakoambazo Halley ilifika periheli zinaweza kukadiriwa kwa kutumia kanuni za [[fizikia]]. Taarifa ya kwanza iliyoweza kuthibishwa kuhusu nyotamkia ya Halley inapatikana katika [[kitabu]] cha [[historia]] ya [[China]] kuhusu kuonekana kwake kwenye mwaka [[240 KK]]. Kwa jumla [[kumbukumbu]] ya [[wataalamu]] wa China inaonyesha taarifa nyingi katika [[karne]] za nyuma hadi kuboreka kwa [[astronomia]] na kumbukumbu yake kwenyekatika [[magharibi]] yaani [[Ulaya]] na katika [[Mashariki ya Kati]]. Mipito mingine katika karne [[kabla ya Kristo]] iliripotiwa pia kwenye kumbukumbu ya [[Babeli]].
:{|
| valign="top" |