Kizio astronomia : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
{{jaribio}}
'''Kizio astronomia''' ([[ing.]] Astronomical Unit AU) ni kipimo cha umbali kwa ajili ya matumizi katika elimu ya [[astronomia]]. Kinalingana na umbali wa wastani kati ya [[dunia]] na [[jua]].
 
Urefu wake ni mita 149,597,870,691 au kwa kifupi takriban [[kilomita]] milioni 150. Umbali huu ni sawa na wastani yawa umbali kutoka kitovu cha [[duniaDunia]] hadi kitovu cha [[juaJua]].
 
Vipimo vilivyo kawaida duniani kama [[kilomita]] vinaweza kutumiwa katikiakatika astronomia lakini vinaleta namba kubwa mno. Hivyo astronomia imebuni vipimo vyake vinavyorahisisha kutaja umbali wa magimba katika [[anga laya ulimwengu]]. Mara nyingi astronomia hutumia kipimo cha [[mwaka wa nuruMwakanuru]] kwa kupima umbali katika ulimwengu. Lakini kwa umbali za karibu zaidi jinsi ilivyo ndani ya [[mfumo wa juaJua letu]] kizio astronomia kimechaguliwa.
 
63,241.077 vizio astronomia vinafanya mwaka wa nuru 1.
Mstari 49:
==Viungo vya Nje==
* [https://www.iau.org/public/themes/measuring/ Measuring the universe], tovuti ya [[Ukia]], iliangaliwa Novemba 2017
{{wikinyota}}
 
[[Jamii:Vipimo]]
[[Category:Astronomia]]