Jan Oort : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 16:
Oort alikadiria kuwepo kwa [[wingu]] la magimba madogo yanayozunguka [[mfumo wa Jua]] letu kwa umbali mkubwa sana ambalo ni [[asili]] ya [[nyotamkia]] zenye [[obiti]] ndefu<ref>yaani zinazorudi baada ya miaka mingi</ref>. [[Masi]] hii inaitwa [[Wingu la Oort]]. Halikuweza kuthibitishwa bado lakini linalingana na makadirio yote kuhusu mwendo wa nyotamkia.
 
Kuanzia mwaka [[1958]] hadi [[1961]] Oort alikuwa [[mwenyekiti]] wa [[Umoja wa Kimataifa wa Astronomia]] (Ukia|UKIA).
 
== Marejeo ==