Mwezi mpevu : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 2:
[[File:Lunar eclipse june 2010 northup.jpg|thumb|200px|Mwezi mpevu jinsi ulivyoonekana wakati wa kupatwa tarehe 26 Juni 2010]]
 
'''Mwezi mpevu''' (ing. ''[[:en:full moon|full moon]]'') ni hali jinsi tunavyoonatunavyouona [[Mwezi (gimba la angani)|Mwezi wetu]] wakati unaonekanaunaonyesha ukiangazwaumbo kabisa yaani nusu ya tufe yake tunayoonala kutokaduara Dunianikamili.
 
==Masharti ya kuona Mwezi mpevu==
Hali hii inatokea wakati:
# [[Dunia]] iko katikati ya [[Jua]] na Mwezi, katika hali ya Jua - Dunia - Mwezi.
# Mwezi ikouko mnamokwenye nyuzi 5 au chini ya mstari wa Dunia - Jua.<ref>
{{
cite web|
Mstari 23:
Katika hali hii nusutufe ya Mwezi inayotazama Dunia inaangazwa kabisa na mwanga wa Jua ikionekana kama [[duara]] kamili.
 
Kama Mwezi unafika kabisaukifika katikati ya mstari Jua - Dunia (yaani [[ekliptiki]]) unaingia katika [[kivuli]] cha Dunia na kusababisha kuonekana kwa [[kupatwa kwa Mwezi]] kunatokea. Kwa hiyo kupatwa kwa Mwezi unatokeahutokea pekeetu wakati wa Mwezi mpevu lakini haitokeihakutokei kila Mwezi.
 
==Mwezi mpevu na pande za Mwezi==
Mwezi una umbo la tufe na kila wakati wote tunaangalia upande wake uleule. Mwezi mwenyewe unazungukahuzunguka Dunia yetu wakati unazungukauleule piahujizungusha mwenyewewenyewe nakwenye mudamuhimili wawake.Muda unaotumika kwenye mizunguko hii miwili ni sawa hivyo tunaonaunalingana.Hivyo muda wote tunaona upande uleule. Kwawa Mwezi. hiyoKwahiyo inawezekana kuongea juu ya "upande wa mbele" na "upande wa nyuma" wa Mwezi. Upande wa nyuma hatuwezi kuonakuuona kamwe kutoka Dunia.
 
==Kinyume cha Mwezi mpevu==
Kinyume cha Mwezi mpevu ni [[Mwezi mwandamo]] ambakoambapo nusutufe ya Mwezi tunayoona haipokei nuru na hivyo Mwezi hauonekani Duniani. Hapo Mwezi upounakuwa katika mstari mmoja baina ya Jua na Dunia, yaani hali ya Jua - Mwezi - Dunia. Katika hali hii nusutufe ya Mwezi isiyoonekana kutoka Duniani inaangazwa. Kama Mwezi unafikiaukiwa katikati kabisa yakwenye mstari Jua - Dunia wakati wa mchana [unafunika Jua na [kupatwa kwa Jua]] kunatokea.
 
==Mwezi mpevu katika kalenda==
MudaKipindi cha kuanzia Mwezi mpevu hadi Mwezi mpevu ufuatao ni siku 29.53 ambayoambacho ni muda wa [[Mwezi (wakati)|kipindi cha Mwezimwezi wa kalenda]] katika mfumo wa [[kalenda ya Mwezi]] (kwa mfano [[kalenda ya Kiislamu]]). Katika kalenda ya aina hii Mwezi mpevu hutokea mnamo tarehe 14 au 15 ya Mwezi. Sababu yake ni ya kwambakuwa kalenda ya Mwezi kama ya Kiislamu huanza kipindi cha Mwezi kipya kwenye siku baada ya Mwezi mwandamo yaani siku ileambapo ambakohilali [[hilali]] mchanga inaanza kuonekana.
 
==Uangavu wa Mwezi mpevu kubadilika==
Wakati wa kuwa mpevu Mwezi hutoa nuru nyingi na kufikia uangavu mkuu unaowezekanakubwa. Kwa kulinganisha na magimba mengine angani Jua linaangazalinang'aa mara 400,000 kuliko Mwezi, na Mwezi unaangazaunaang'aa mara 250 kuliko nuru ya nyota zote angani wakati Mwezi hauonekani.
 
UanganvuUng'avu wa Mwezi mpevu unategemea na umbali na Dunia. [[Obiti]] yaani njia ya Mwezi unapozunguka Dunia si umbo la [[duara]] lakini la [[duaradufu]] ambako umbali wa mahali penye mzingo wa Mweziwake kutoka Dunia kama kitovu chake unabadilika. Mahali paPalipo karibu zaidi pana umbali wa kilomita 362,600, mahali pa mbali pana kilomita 405,400. Hivyo Mwezi mpevu unaotokea wakati Mwezi niuko karibu zaidi na Dunia unaonekana kiangavuuking'aa zaidi kuliko Mwezi mpevu unatokeaunaotokea wakati Mwezi ni mbali zaidi. Kila baada ya miaka kadhaa Mwezi unafikia mahali pa njia yake ambakoambapo ni karibu sana Dunianina Dunia na hapa Mwezi unaonekana kubwamkubwa napia kiangavuuking'aa kuliko kawaida. Hali hii ilianza kuitwa kwa Kiingereza "supermoon" au [[Mwezi mpevu sana]].<ref>[https://sites.google.com/site/astronomyintanzania/previousmonthsnightskies/Mwezi-mpevu-ajabu-jumatatu-novemba-14 Mwezi mpevu ajabu Jumatatu Novemba 14], tovuti ya "Astronomy in Tanzania" (Dr. Noorali T. Jiwaji), iliangaliwa 13 Novemba 2016</ref>
 
{{Wikinyota}}
 
==Marejeo==