Tofauti kati ya marekesbisho "Nzi (kundinyota)"

90 bytes added ,  mwaka 1 uliopita
no edit summary
 
==Jina==
Nzi ni kati ya kundinyota zilizobuniwa tangu mabaharia Wazungu kuzunguka duniaDunia yote yaanikatika karne ya 16 na kuona mara ya kwanza nyota za kusini. HazikujulikaniHaikujulikani kwa Wagiriki wa Kale au Waarabu waliojifunza kutoka kwao. Kundinyota hii ilielezwa mara ya kwanza na mabaharia Waholanzi [[Pieter Dirkszoon Keyser]] na Frederick de Houtman katika safari yao ya kuelekea [[Indonesia]] zikaonyeshwa mara ya kwanza mwaka 1598 katika [[globu ya nyota]] ya [[Petrus Plancius]].
 
Keyser alitumia jina la [[Kiholanzi]] De Vlieghe ([[Nzi]]) iliyotajwalililotajwa baadaye kwa jina la Kilatini „Musca“"Musca“. Baadaye ilipokelewa katika "Uranometria" ya [[Johann Bayer]] aliyetumia njia ya "Apis" (nyuki) na hivyo kuna vitabu vya zamani zinazotumiavinavyotumia jina Apis lakini baadaye "Musca" ilirudishwa.
 
Leo Musca ikoipo pia kati ya kundinyota 88 zinazoorodheshwa na [[Umoja wa kimataifa wa astronomia|Umoja wa Kimataifa wa Astronomia]] <ref>[https://www.iau.org/public/themes/constellations/ The Constellations], tovuti ya International Astronomical Union , iliangaliwa Julai 2017</ref> Kifupi chake rasmi kufuatana na [[Ukia]] ni 'Mus'.<ref name="pa30_469">{{cite journal | last=Russell | first=Henry Norris | title=The New International Symbols for the Constellations | journal=[[Popular Astronomy (US magazine)|Popular Astronomy]] | volume=30 | pages=469–71 | bibcode=1922PA.....30..469R | year=1922}}</ref>
 
==Nyota==
Nyota angavu zaidi ni <big>α</big> Alfa Muscae yenye [[uangavu unaoonekana|mwangaza unaoonekana]] wa 2.7 [[mag]] ikiwa na umbali wa Dunia wa [[miaka ya nuru]] 310<ref>[http://stars.astro.illinois.edu/sow/alphaaps.html Alphamus (Alpha Muscae)], tovuti ya Prof. Jim Kaler, university of Illinois, iliangaliwa Oktoba 2017</ref> Ni rahisi kuonakuiona maana ni ni yotanyota angavu jirani na Salibu kwa kufuata mstari wa urefu wa salibuSalibu kuelekea kusini.
 
==Tanbihi==