Unajimu : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 16:
Nyota zinaonekana wakati wa [[usiku]] kwa kufuatana na mwendo wa dunia yetu kuzunguka [[jua]]. Kwa namna hiyo kuonekana kwa nyota kunalingana na [[majira]] ya mwaka. Kwa hiyo katika dunia kabla ya kupatikana kwa [[kalenda]] watazamaji wa nyota waliweza kutabiri mabadiliko ya [[hali ya hewa]], kuja kwa majira ya [[mvua]], [[baridi]], [[joto]] na kadhalika. Kati ya nyota zilizotazamwa hivyo ni, kwa mfano, [[Kilimia]] na [[Zuhura]].
 
Kwa mfano kuonekana kwa nyota fulani (hii inategemea mahali duniani) inaweza kuwa alama ya kwamba mvua ni karibu, au majira ya baridi yanaanza. Sababu yake ni ya kwamba nyota huonekana kwa vipindi fulani wa mwaka tu; wakatikwa wanyakati [[Mwezinyingine (wakati)|miezi]]ziko mingineangani zingeonekana wakati wa [[kwenye
mchana]] ambako [[nuru]] ya jua inaficha nyota zote hazionekani tena. [[Saamasaa]] zaya usiku kuna vipindi ambako nyota fulani zinaonekana vizuri angani juu kabisa na kwa njia hiyo zinaweza kutambuliwa kama [[ishara]] za majira.
 
Leo hii watalaamu wengi huamini ya kwamba hapo ndipo msingi muhimu wa [[imani]] ya kwamba nyota zinaathiri maisha duniani.
Line 31 ⟶ 32:
Kati ya mbinu za unajimu zinazojulikana sana duniani ni [[horoskopi]].
 
Tangu zamani watu walitazama nyota zilizoonekana pamoja kama [[kundinyota]] kama nukta angani na kuwaza kuwa na mistari kati yake, hivyo kuona picha ya watu, wanyama au miungu. Ni hasa kundinyota [[kumi na mbili|12]] za aina hii zilizorudia kila mwaka kukaa juu kwenye [[anga]] wakati wa mwezi fulani. Makundinyota hayo yalichukuliwa kama "watawala" wa kipindi ambako zilionekana juu angani wakati wa usiku na kwa pamoja zinafanya "[[zodiaki]]" yaani ufuatano wa makundinyotakundinyota yaliyoaminiwazilizoaminiwa kuwa muhimu.
 
Unajimu unafundisha ya kwamba kila kundinyota kuwa na tabia fulani na mtu mtu aliyezaliwa "chini" ya nyota hizohizi kuwaanapokea tabia za pekee kulingana na tabia''nyota zilezilezake''. Hayo makundinyota ya zodiaki yaliunganishwa na athiraathari iliyoaminiwa kutokea kwa [[sayari]] ambazo zilipewa pia tabia zake. Hayo yote ni mfumo usioeleweka kirahisi na kuwa msingi wa horoskopi.
 
Hadi leo chini ya vichwa kama "Nyota zinasema" [[magazeti]] mengi huchapisha namna za [[utabiri]] wa kila [[wiki]] kwa watu kufuatana na [[tarehe]] zao za kuzaliwa.
Line 46 ⟶ 47:
[[Jamii:Dini]]
[[Jamii:Unajimu]]
{{wikinyota}}