Ulimwengu : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Hubble ultra deep field.jpg|thumb|300px|Nyota na galaksi za anga la -nje kwenye jicho la darubini ya Hubble]]
'''Ulimwengu''' ni jumla ya vitu vyote vilivyopo. Inajumlisha [[dunia]] yetu pamoja na kila kitu ndani yake, [[jua]] letu, [[mfumo wa jua]], [[sayari]], [[nyota]], [[galaksi]] na kila kitu. Ni jumla ya [[mata]], [[nishati]] na [[anga]] la dunia pamoja na [[anga la -nje]].
 
== Yasiyo ulimwengu ==
Mstari 6:
 
== Ulimwengu, dunia, anga ==
Kwa [[Kiswahili]] cha kila siku mara nyingi hakuna tofauti kati ya ''dunia'' na ''ulimwengu''. Lakini kama [[lugha]] inataka kujadili habari kwa undani pamoja na [[ujuzi]] wa siku zetu kuna ulazima wa kutofautisha kati ya [[ngazi]] mbalimbali za [[mazingira]] tunamoishi.
 
Kwa maana hiyo dunia ni hasa sayari tunapoishi. Zamani [[watu]] waliona dunia kwa maana hiyo ni sawa na ulimwengu wote. Lakini [[maendeleo]] ya [[sayansi]] yametuonyesha upeo mkubwa zaidi uliopo ng'ambo ya sayari yetu na hata ng'ambo ya [[mfumo wa jua]] letu na sayari zake. Kwa hiyo [[neno]] "ulimwengu" limekuwa muhimu kwa sababu linalenga kiasili kwa jumla la vitu vyote si kwa sayari yetu hasa.
Mstari 12:
Katika [[Wikipedia ya Kiswahili|Wikipedia hii]] tunatumia neno "ulimwengu" kama [[Kiingereza]] ''[[:en:universe|universe]] au [[:en:cosmos|cosmos]]''. "Dunia" tunatumia kwa maana ya Kiingereza ''[[:en:earth|earth]]''. Wakati mwingine lugha za [[Ulaya]] zinatumia "universe" karibu sawa na "space" au "outer space" zikimaanisha nafasi kubwa ulimwenguni nje ya dunia yetu. Hali halisi dunia yetu ni ndogo sana ulimwenguni na kwa hiyo upeo wa "space" ni karibu sawa na upeo wa "universe". Lakini lugha nyingi zinatofautisha kati ya nafasi ile kubwa nje ya dunia na dhana ya ulimwengu kama jumla ya vyote.
 
Kwa Kiswahili ni afadhali kutofautisha vilevile. Kwa kawaida tunatumia neno "anga" linalomaanisha kiasili kile kinachong'aa yaani mahali pa [[mwanga]] jinsi ilivyo anga juu yetu inayoangazwa na jua. Kutokana na maana hiyo ya msingi "anga" linamaanisha yote ambayo ni juu yetu. Hivyo "anga" linataja mara nyingi [[angahewa]] ya dunia, au yale ya [[buluu]] yanayoonekana juu yetu. Lakini hutumiwa pia kwa nafasi kubwa nje ya angahewa. Hapa tunatumia pia lugha ya "[[anga la -nje]]" tukitaka kutofautisha angahewa na ule uwazi mkubwa kati ya nyota na galaksi.
 
== Ulimwengu na sayansi ==
Ulimwengu hutazamiwa na matawi mbalimbali ya sayansi na [[utaalamu]].
 
[[Astronomia]] ni sayansi inayotumia elimu ya [[fizikia]] na [[kemia]] kwa kutazama, kupima na kuchungulia vitu kwenye anga la -nje. Mkono mmoja wa astronomia unaoshirikiana zaidi na [[falsafa]] ni [[kosmolojia]] inayoangalia hasa asili ya ulimwengu kulingana na kanuni asilia.
 
Mkono wa pekee ya [[biolojia]] inatafakari nafasi za uhai nje ya dunia yetu kwa kushirikiana na astronomia.
Mstari 23:
[[Falsafa]] pamoja na sayansi mbalimbali inauliza maswali juu ya tabia na sifa za dunia na matatozo ya kuitambua.
 
[[TeolojiaTheolojia]] pamoja na elimu ya kidini inatazama ulimwengu kama kazi ya Mungu inauliza maswali jinsi gani mapokeo ya kidini na maanddiko matakatifu yanalingana na mtazamo mpya wa sayansi juu ya ulimwengu.
 
== Ukubwa na umri wa ulimwengu ==
Astronomia na kosmolojia zimekadiria umri na ukubwa wa ulimwengu jinsi ulivyo kuwa kubwa sana. Kwa kutumia kipimo cha [[mwaka wa nuru]] kunakadiriwa ya kwamba ulimwengu una rediasi ya [[miaka ya nuru]] angalau bilioni 78.
 
Umri wa ulimwengu hukadiriwa kwa sasa kuwa miaka [[bilioni]] 13.7. Hesabu hii iananzainaanza kwenye [[mlipuko mkuu]] wa asili ambayo ni [[nadharia]] inayotumiwa na wataalamu wengi.
 
== Viungo vya Nje ==
Mstari 37:
[[Jamii:Astronomia]]
[[Jamii:Ulimwengu]]
{{wikinyota}}