Ukanda wa Van Allen : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d Kipala alihamisha ukurasa wa Ukanda wa van Allen hadi Ukanda wa Van Allen
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Van Allen.jpg|300px|thumb|Ukanda wa Van Allen]]
[[Picha:Magnetosphere rendition.jpg|300px|thumb|Uga sumaku wa Dunia ni kinga dhidi ya mnururisho wa upepo wa Jua]]
'''Ukanda wa Van Allen''' ([[ing.]] ''Van Allen belt, Van Allen radiation belt'') ni eneo linaloviringisha Dunia katika [[anga la -nje]] nje ya [[angahewa]]. Unfanywa na [[atomi|vyembe atomia]] hasa [[protoni]] na [[elektroni]] vilivyoshikwa na [[uga sumaku]] wa Dunia.
 
Jina latokanalinalotokana na mwanafizikia [[James Van Allen]] kutoka [[Marekani]] aliyeongoza utafiti wa ukanda huu wa mnururisho katika miaka ya 1950.
 
Ukanda wa Van Allen una sehemu mbili:
Mstari 11:
Vyembe hivi huwa na chaji ya umeme hasi au chanya ya umeme. Hivyo vinavutwa na nguvu ya usumaku wa Dunia baina ya ncha mbili za uga wake. Kwa njia hii ugasumaku wa Dunia unazuia sehemu kubwa ya vyembe hivi kufika kwenye uso wa ardhi na hii ni kinga dhidi ya mnururisho unaoweza kuhatarisha viumbehai duniani kutokana na nishati kubwa inayoshikwa nazo.
Asili ya vyembe hivi ni kwa upande mojammoja [[upepo wa Jua]] (mkondo wa vyembe kutoka Jua) na kwa upande mwingine atomi zinazopigwa na miale ya mnrururishomnunurisho wa [[mialimwengu]] (ing. [[:en:cosmic rays|cosmic rays]]) na kupasuliwa.
 
Sayari nyingine kama [[Mshtarii]] (Jupiter) na [[Zohali]] (Saturn) huwa pia na ukanda wa mnururisho wa kufanana.
Mstari 25:
 
[[jamii:Astronomia]]
{{wikinyota}}