Dunia : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Tags: Mobile edit Mobile web edit
No edit summary
Tag: 2017 source edit
Mstari 108:
 
== Angahewa ==
Hewa iliyoko juu ya ardhi vile vile ina matabaka mbalimbali, na kila tabaka lina kazi yake. Hewa kwa jumla ina masafa ya kiasi cha kilomita 560 au [[maili]] 348 kuendea juu, na baada ya hapo unaingia kwenye anga la nje. Hewa hiyo ndiyo inayotukinga sisi viumbe na ma[[dhara]] ya jua na mnururisho wa angani ambao unaingia anga laya dunia na kuteremka chini.
 
== Tazama pia ==
Mstari 138:
[[Jamii:Sayari]]
[[Jamii:Dunia]]
{{wikinyota}}