102
edits
No edit summary |
No edit summary |
||
'''NASA''' ni kifupi cha [[Kiingereza]] cha "'''National Aeronautics and Space Administration'''" (Mamlaka ya Marekani ya Usafiri wa Anga). Mamlaka hii ilianzishwa 1958. Wajibu wake ni kusimamia miradi ya serikali ya [[Marekani]] ya kuendesha utafiti na uchunguzi wa anga. NASA
[[Picha:Mercury 3.jpg|thumb|200px|right|Roketi iliyorusha "Freedom 7" na Alan Shepard Jr.angani tar. 5.5.1961]]
Miradi ya NASA ilianzishwa kutokana na [[Mshtuko wa Sputnik]] yaani baada ya [[Warusi]] kushtusha dunia kwa kupeleka vyombo vya angani vya kwanza katika mradi wao wa [[Sputnik]].
Mradi wa kwanza wa NASA ulikuwa [[Mradi wa Mercury]] uliotakiwa kuonyesha ya kwamba wanaanga wanaweza kukaa angani kwa muda fulani. Alan B. Shepard Jr. alikuwa Mmarekani wa kwanza angani kwa muda wa dakika 15; John Glenn alikuwa Mmarekani wa kwanza wa kuzunguka dunia tarehe [[20 Februari]] [[1962]] kwa chombo cha angani "Friendship 7".
Mradi huo
[[Picha:Aldrin Apollo 11.jpg|thumb|175px|left|Buzz Aldrin akitembea kwenye uso wa mwezi wakati wa safari ya Apollo 11.]]
= Viungo vya nje =
* [http://www.nasa.gov/ Tovuti ya NASA]
{{Wikinyota}}
[[Jamii:Marekani]]
[[Jamii:Usafiri wa anga la nje]]
|
edits