Mzunguko : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[File:Orbital motion.gif|thumb|200px|Obiti ya gimba dogo (kama satelaiti) linalozunguka gimba kubwa (kama dunia); <br>kani ya velositi "'''v'''" inataka kulipeleka mbele mbali na mahali pake; kani ya graviti "'''a'''" inalivuta kuelekea gimba kubwa; tokeo lake ni obiti ya kuzunguka.]]
[[Picha:Newton Cannon.svg|300px|thumbnail|Mfano wa "Mzinga wa Newton"]]
'''Obiti''' (kutoka [[neno]] la [[Kiingereza]] ''orbit'' lenye [[asili]] ya [[Kilatini]] ''orbita'' "njia, mzunguko"; pia: '''njia mzingo''') ni njia inayotumiwa na [[gimba la angani]] linalozunguka gimba kubwa zaidi katika anga laya ulimwengu ilhali inashikwa na mvuto wa [[graviti]]. Mfano wake ni mwendo wa [[sayari]] inayozunguka [[jua]], au [[mwezi]] unaozunguka [[sayari]] yake, au [[satelaiti]] inayozunguka [[dunia]].
 
==Uwiano wa kani katika obiti==
Fizikia ya obiti inatazama kani au nguvu mbili.
*Ya kwanza ni [[velositi]] ya gimba dogo inayoelekea kwenda mbele mbali na mahali pake.
*Ya pili ni [[graviti]] inayovuta gimba dogo kuelekea gimba kubwa. Obiti ikoipo pale ambako hizi nguvu hizi mbili zinalingana. Kama kanikasi ya velositi ingekuwaikiwa kubwa zaidi gimba dogo lisingezunguka bali kutokaingetoka. Kama kani ya graviti ingekuwainakuwa kubwa zaidi gimba dogo linaangukalitaanguka chinikwenye gimba.
 
==Mfano wa "Mzinga wa Newton"==
[[Mwanafizikia]] [[Isaac Newton]] aliwaza mfano unaoeleza vizuri kani zinazoathiri obiti. Aliwaza mfano wa [[mzinga]] unaosimamishwauliowekwa juu ya mlima mrefu. Mzinga huu unaweza kurusha [[risasi]] kwa mwelekeo wa [[ulalo]] tena kwa kasi mbalimbali. AthiraAthari ya msuguano wa hewa kupunguza kasi dhidi ya risasi aliacha kando au kuwaza mlima mrefu kiasi cha kufikiakupenya juu ya angahewa ya dunia.
 
*Kama mzinga unarusha risasi yake kwa velositi ndogo itaenda mbele kiasi halafu kuanguka chini '''(A)'''.
*Kama kasi au velositi inaongezwa itaanguka mbali zaidi'''(B)'''.
*WakatiKasi kasiya inaongezekarisasi ikiongezeka zaidi kuna hali ambakoambapo risasi haianguki tena inazunguka dunia na kumailisha obiti ya duara '''(C)'''.
*Kama kasi inaongezeka tena obiti inachukua umbo la [[duaradufu]]. Mahali pa [[periheli]] ambakoambapo obiti ikoipo jirani karibuzaid na dunia ni mahali pa kufyatuliwa na 180° kinyume chake; katikatiupande niwa nuktapili yani [[afeli]] ambakoambapo obiti iko mbali na duniaDunia. '''(D)'''
*WakatiKasi kasiya risasi inaongezekaikiongezwa zaidi kuna risasi inafikia velositi ya kuweza kutoka katika graviti ya sayariDunia. '''(E)'''.
 
HaliKwa hali halisi makadirio ya makombora ya kurusha satelaiti na vyombo vya angani vinafuata maelezo hapo juu. Kama kombora linatikwalinatakiwa kubeba satelaiti kama vile satelaiti ya televisheni au ya mwawasilianomawasiliano ni lazima kukadiria velositi ya [[kombora]] kulingana na uzito wake na mahali panapotakiwa kufikia angani naili hivyokuweza kupeleka satelaiti katika obiti aina ya (C) au (D).
 
Wakati C[[chombo cha angani|hombo cha angani]] kitakiwakinapotakiwa kupelekwa safari ya kwenda mwezi au sayari nyingine sharti kufikia "velositi ya kutoka" katika graviti ya duniaDunia.
 
==Historia ya utafiti wa obiti==
Zamani watu walifikiri ya kwamba [[jua]] lina obiti ya kuzungukakuIzunguka dunia kila siku jinsi inavyoonekana kwa macho. tukionaJua jua kutokalinachomoza upande mmoja wa upeo wa anga wakati wa asubuhi na kuzama chini upande mwinginewa pili wakati wa jioni.
 
Kwa hiyo wataalamu Wagiriki wa Kale kama [[Ptolemeo]] waliwaza obiti za jua na sayari za kuzunguka dunia ilhali hizina obiti hizi zilikuwa na umbo la [[duara]] kamili.
 
Kuanzia utafiti wa akina [[Koperniko]] na [[Galilei]] ilitambuliwa ya kwamba ni dunia ndiyo inayozunguka juaJua pamoja na sayari nyingine, kila moja kwenye obiti yake. Ilionekana pia ya kwamba obiti hizi si duara kamili lakini zinalingana zaidi na [[duaradufu]].
== Kipindi cha obiti ==
''Kipindi cha obiti'' ni muda unaotumiwa na gimba kama satelaiti, mwezi au mwezisayari kuzunguka gimba mama.
 
Kwa mfano wa dunia kipindi cha obiti ya obiti ya Dunia yetu kuzunguka duniaJua ni siku 365.25 na kipindi hiki tunaita "[[mwaka]]".
 
Kipindicha obiti ya mwezi wetu ni siku 1; wakati huohuo unazunguka mara moja kwenye mhimili wake na hii nindiyo sababu ya kwambasisi tunaona muda wote upande uleule wa mwezi wetu muda wote.
{{mbegu-fizikia}}
[[Category:Astronomia]]