Orodha ya Messier : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
'''Orodha ya Messier''' ''(tamka mes-ye; Messier Catalogue)'' ni [[orodha ya nyota]] iliyoandikwa na mwanaastronomia Mfaransa [[Charles Messier]] kati ya 1764 na 1782.
 
Messier alitafuta hasa nyotamkia angani akitumia darubini. Aliona pia magimba mengine yaliyoonekana kama [[nebula]] (wingu dogo linalognlinalong'aa) zisizotembea angani kwa hiyo hazikuwa nyotamkia. Akaamua kuziorodhesha.
 
Orodha hii ilikuwa orodha ya kwanza iliyokubaliwa na wanaastronomia wengi kimataifa. Nyota na nebula zake zilijulikana kufuatana na namba jinsi zilivyoandikwa katika orodha ya Messier yaani M1, M2 na kadhalika. M1 ni [[nebula ya kaa]], M45 ni [[fungunyota]] ya [[kilimia]] na [[galaksi]] ya [[Andromeda]] ni M31.