Tofauti kati ya marekesbisho "Ndege wa Peponi (kundinyota)"

no edit summary
 
==Mahali pake==
Ndege wa Peponi iko jirani na kundinyota [[Pembetatu ya Kusini (kundinyota)| Pembetatu ya Kusini ]] (''[[:en: Triangulum Australe|Triangulum Australe]]''). Pia ipo karibu na Nyota angavu ya [[Rijili Kantarusi]] si mbali.
==Jina==
Ndege wa Peponi niinapatikana kati ya kundinyotakundi nyota zilizobuniwa tangu mabaharia Wazungu kuzungukawalipozunguka duniaDunia yote yaanikatika karne ya 16 na kuona mara ya kwanza nyota ya kusini. Kundinyota hii ilielezwa mara ya kwanza na mabaharia Waholanzi [[Pieter Dirkszoon Keyser]] na Frederick de Houtman katika safari yao ya kuelekea Indonesia zikaonyeshwa mara ya kwanza mwaka 1598 katika [[globu ya nyota]] ya [[Petrus Plancius]].
 
Keyser alitumia jina la [[Kiholanzi]] la ''De Paradijs Voghel'' ([[Ndege wa Peponi]], wa paradiso) iliyotajwalililotajwa baadaye na jina la Kigirikiki „Apus“<ref>Bayer aliiiandika kwa jina "Apis Indica" inayomaanisha Nyuki wa Uhindi lakini hapa inaonekana alikosea "apis"= nyuki kwa "avis" = ndege. Johannes Kepler aliandika tayari "Avis Indica". Ling. Wagman, Morton (2003). Lost Stars: Lost, Missing and Troublesome Stars from the Catalogues of Johannes Bayer, Nicholas Louis de Lacaille, John Flamsteed, and Sundry Others. Blacksburg, Virginia: The McDonald & Woodward Publishing Company. pp. 30–32. ISBN 978-0-939923-78-6.</ref> yaani „bila miguu“ kwa sababu wataalamu wa Ulaya waliamini mwanzoni ya kwamba Ndege wa Peponi hawana miguu. Baadaye ndege hawa waliitwa "ndege wa paradiso" kutokana na rangi nyingi za kupendeza walizo nazo. Leo iko pialiko kati ya kundinyota 88 zinazoorodheshwa na [[Umoja wa kimataifaKimataifa wa astronomiaAstronomia]] <ref>[https://www.iau.org/public/themes/constellations/ The Constellations], tovuti ya International Astronomical Union , iliangaliwa Julai 2017</ref>
 
==Nyota==
Nyota angavu zaidi ni α Alfa Apodis yenye [[uangavumwangaza unaoonekana]] wa 3.83 [[mag]] .<ref name=ridpath01>{{cite book |last = Ridpath |first = Ian |date = 2001 |title = Stars and Planets Guide |publisher = Princeton University Press |location=Princeton, New Jersey |isbn = 0-691-08913-2 |pages=76–77}}</ref> ikiwa na umbali wa Dunia wa [[miaka ya nuru]] 447 ± 8,<ref name="vanLeeuwen2007">{{cite journal | first=F. | last=van Leeuwen | title=Validation of the New Hipparcos Reduction | journal=Astronomy and Astrophysics | volume=474 | issue=2 | pages=653–64 | date=2007 | bibcode=2007A&A...474..653V | doi=10.1051/0004-6361:20078357 | arxiv=0708.1752}}</ref> .Ni nyota jitu yenye kipenyo mara 48 kuliko Jua <ref name=aaa367_521>{{cite journal | last1=Pasinetti Fracassini | first1=L. E. | last2=Pastori | first2=L. | last3=Covino | first3=S. | last4=Pozzi | first4=A. | title=Catalogue of Apparent Diameters and Absolute Radii of Stars (CADARS) - Third edition - Comments and statistics | journal=Astronomy and Astrophysics | volume=367 | pages=524 | date=2001 | doi=10.1051/0004-6361:20000451 | bibcode=2001A&A...367..521P | arxiv=astro-ph/0012289}}</ref> na uangavu halisi mara 928 kulio Jua. Halijoto usoni ni 4312 K.<ref name=Mcdonald>{{cite journal|author=McDonald, I.|author2=Zijlstra, A. A.|author3=Boyer, M. L.|date=2012|title=Fundamental Parameters and Infrared Excesses of Hipparcos Stars|journal=Monthly Notices of the Royal Astronomical Society|volume=427|issue=1|pages=343–57|bibcode=2012MNRAS.427..343M|arxiv = 1208.2037 |doi = 10.1111/j.1365-2966.2012.21873.x }}</ref>
 
==Tanbihi==
 
 
{{Wikinyota}}
 
 
[[Category:Kundinyota]]
102

edits