ESA : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Tag: 2017 source edit
Mstari 1:
[[Picha:Ariane 1 Le Bourget FRA 001.jpg|300px|thumbnail|Mfano wa roketi ya Ariane 1 inayotumiwa na ESA]]
[[Picha:Views in the Main Control Room (12052189474).jpg|300px|thumbnail|Kituo cha kusimamia operesheni kwenye [[anga la nje]] huko [[Darmstadt]]]]
'''ESA''' ni kifupi cha [[Kiingereza]] cha "'''European Space Agency'''" (Mamlaka ya Ulaya ya Usafiri wa Anga Ulaya). Taasisi hiyo ilianzishwa mwaka [[1975]] na nchi 10 za [[Umoja wa Ulaya]].
 
Wajibu wake ni kuratibu miradi ya nchi za Ulaya ya kuendesha [[utafiti]] na [[uchunguzi]] wa [[anga]]. Shabaha ni hasa kuendeleza juhudi za nchi za Ulaya katika [[teknolojia ya angani]] iliyokuwa nyuma sana kulingana na kazi za [[NASA|Marekani]] na [[Urusi]] wakati ule.
Mstari 26:
==Viungo vya nje==
{{Commonscat|European Space Agency}}
{{wikinyota}}
 
[[Jamii:Umoja wa Ulaya]]
[[jamii:Usafiri wa angani]]