Kutubu : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Tags: Mobile edit Mobile web edit
No edit summary
Mstari 19:
 
==Jina==
Kutubu inayomaanisha “mhimili, ncha" ilijulikana kwa mabaharia Waswahili tangu miaka mingi wakifuata njia yao baharini upande wa kaskazini ya [[ikweta]] wakati wa usiku kwa msaada wa [[nyota]]. <ref>ling. Knappert 1993</ref>. Walipokea jina hili kutoka kwa Waarabu wanaosema <big> القطب </big> ''al-qutub'' inayomaanisha „nyota ya ncha ya kaskazini".
 
Kwa matumizi ya kimataifa [[Umoja wa Kimataifa wa Astronomia]] ulikubali jina la [[Kilatini]] na kuorodhesha nyota hii kwa jina la "Polaris" <ref>[https://www.iau.org/public/themes/naming_stars/ Naming Stars], tovuti ya [[Umoja wa Kimataifa wa Astronomia]] (Ukia), iliangaliwa Novemba 2017</ref>.
Mstari 33:
Nyota kuu ni Kutubu A<sup>1</sup> (Polaris Aa) ambayo ni [[nyota geugeu]] yenye masi ya Jua mara 5 iking’ara mara 1200 kuliko Jua letu. Kutokana na mng’aro mkubwa inapangwa katika kundi la [[nyota jitu kuu]] . Mwangaza wa α Umi Aa ulibadilikabadilika kati ya mag 1.86 hadi 2.13 wakati wa kurekodiwa kama miaka 100 iliyopita. Baadaye kiwango hiki kilipungua kwa muda mrefu lakini kwa miaka ya nyuma kimeanza kuongezeka tena<ref>Lee & alii (2008)</ref>
 
Kutubu A1 (Polaris Aa) ina masi ya Jua mara 5 iking’ara mara 1200 kuliko Jua letu. Kutokana na mng’aro mkubwa inapangwa katika kundi la [[nyota jitu kuu]].
 
==Kutubu kama Nyota ya Ncha ya Kaskazini==
Line 89 ⟶ 87:
* Turner, D. G.; Kovtyukh, V. V.; Usenko, I. A.; Gorlova, N. I. (2013). "The Pulsation Mode of the Cepheid Polaris". The Astrophysical Journal Letters. 762: L8 [https://arxiv.org/pdf/1211.6103.pdf online hapa]
* Ptolemy's Almagest, translated and annotated by G.J. Toomer, London 1984, ISBN 0-7156-1588-2 [https://archive.org/details/PtolemysAlmagestPtolemyClaudiusToomerG.5114 online hapa]
{{wikinyota}}
 
[[Jamii:Nyota]]