Neptuni (sayari) : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
kunyosha lugha na maelezo (makala ilikuwa iliunganishwa na makala mbili zilizowahi kupatikana sambamba, lugha haikuridhisha)
No edit summary
Mstari 3:
[[Picha:Neptune-visible.jpg|thumb|200px|right|Neptun ilivyopigwa [[picha]] na darubini ya angani ya Hubble I.]]
[[Picha:Neptune, Earth size comparison.jpg|thumb|200px|right|Ulinganifu wa Neptun na [[dunia]]. [[Rangi]] ya [[bluu]] ya sayari ya Neptune hutokana na uwepo wa methane katika tabaka lake la hewa.]]
'''Neptuni''' (''[[ing.]] Neptune)'' ni [[sayari]] ya nane kutoka kwakwenye [[Jua]] na ya nne kwa ukubwa wa kipenyo katika [[mfumo wa Jua]]. Masi yake ni mara 17 ya ile ya [[Dunia]]. Pamoja na [[Mshtarii]] ''(Jupiter)'', [[Zohali]] ''(Saturn)'' na [[Uranus]] inahesabiwa kati ya sayari jitu za mfumo wetu.
 
Neptuni inazunguka Jua kwenye [[obiti]] yake katika kipindi cha miaka 164.8 kwa umbali wa kilomita bilioni 4.5 au [[vizio astronomia]] 30.
 
==Ugunduzi na jina==
Neptuni haionekani kwa macho matupu. Inawezekana ya kambakwamba [[Galileo Galilei]], aliyekuwa mtu wa kwanza wa kutumia darubini kuangalia nyota, aliiona alipotazama anga lakini hakuitambua kama sayari, ila kama nyota mojawapo.
Neptuni ilitambuliwa katika karne ya 19 kutokana na makadirio ya kihisabati wakati wataalamu walitafuta maelezo kwaya mzingo wa sayari jirani ya Uranus na hapo kuwepo kwawa sayari ya nyongeza ilitabiriwaulitabiriwa. Hivyo ilitazamiwailitazamwa kwenye darubini kwa mara ya kwanza tarehe 23 Septemba 1846 karibu na mahali ilipotabiriwa.
 
Wavumbuzi mbalimbali walivutana kwa muda kuhusu jina na hatimaye mapendekezo ya kutumia jina la [[Neptunus]], mungu wa Kiroma wa bahari, yalikubaliwa.
Mstari 18:
Nusukipenyo chake ni kilomita 24,765 hivyo mara nne ya Dunia.
 
Muundo wa Neptuni inafananaunafanana na Uranus. Kuna kiini cha mwamba na metali chenye masi inayolingana takribani sawa na Dunia. Kiini hiki kinazungukwa na tabaka nene lenye mchanganyiko wa [[maji]], [[amonia]] na [[methani]] katika hali ya [[kiowevu]], kwa hiyo sehemu hii inaitwa pia bahari.
 
Juu yake ziko tabaka za angahewa inayofanywa na gesi kama [[hidrojeni]], [[heli]] na methani. Hakuna tofauti kali kati ya sehemu za „angahewa“ na „bahari“ maana hali za mata zinaingiliana kutokana na shinikizo kubwa.
 
Tabaka za juu taza angahewa ni baridi sana zikiwa na jotoridi ya nyuzi za Kelvini [[°K]] 55 ([[°C]]-218) K. Hadi kitovu chakecha jotoridi inapandakinapanda hadi kufikia takriban °K 5,400 (°C 5,100).
 
Katika angahewa ya Neptuni zilipimwa [[dhoruba]] kali zinazofikia kasi ya zaidi ya kilomita 1600 kwa saa.
 
Neptuni huwa na mfumo wa bangili uliotambuiwauliotambuliwa na Voyager 2.
 
==Miezi==
Mwezi mkubwa unaitwa Tritoni iligunduliwauligunduliwa mwaka 1846, siku chache baada ya sayari yenyewe na kupokea jina lake kutokana na mwana wa mungu wa bahari katika [[mitholojia ya Kigiriki]]. Tritoni ina kipenyo cha kilomita 2707.
Katika karne ya 20 miezi mingine ilitambuliwa inayozunguka Neptuni, hadi sasa jumla ni 14 lakini mingi ni midogo.
 
Mstari 35:
Neptun huwa haionekani kwa urahisi: macho matupu hayawezi kuiona; ni lazima kutumia darubini, na hata hapo huonekana ikiwa imefifia kama kisahani chenye rangi ya buluu-kijani. Rangi hii imetokana na gesi ya methani inayopatikana kwa wingi katika angahewa yake. Kwa kutumia darubini kubwa, sayari huweza kuonekana kama kaduara kadogo chenye kipenyo cha kama sekunde za tao 2.3..
 
{{Wikinyota}}
==Tazama pia==
* [[Mfumo wa jua]]