Angahewa : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 28:
*Kati ya hizi Utaridi haina angahewa, ikiaminiwa yote imepotea kutokana na kupigwa vikali na [[upepo wa jua]] lililo karibu na sayari hii.
*Zuhura ina angahewa nzito, hasa ya [[dioksidi kabonia]] (CO<sup>2</sup>)
*[[Mirihi]] na angahewa hafifu sana ya dioksidi kabonia (CO<sup>2</sup>). Inaaminiwa kuwa imepotea asilimia kubwa ya angahewa yake. Mirihi haina [[uga sumaku]] na hivyo upepo wa jua unapiga sayari hii moja kwa moja na kusukuma molekyuli za angahewa mbali kwenda [[anga la -nje]].
Sayari kubwa za nje kama [[Mshtarii]] (Jupiter) na [[Zohari]] (Saturn) si rahisi vile kuofautisha kati ya sayari yenyewe na angahewa yake. Sayari hizi huitwa pia "jitu za gesi" kwa sababu asilimia kubwa ya sayari yote ni elementi kama [[hidrojeni]] na [[heli]] ambazo kwetu duniani zinapatikana kama gesi. Kutokana na umbali mkubwa na jua ni baridi zaidi hadi gesi izihizi kupitia katika hali mango. Vilevile hidrojeni katika kiini cha Mshtarii inaaminiwa kuwa katika hali metalia kutokana na sinikizo kubwa ya masi yake.
Kuna miezi kadhaa zinazunguka sayari za jua ambako angahewa zimegundliwa, kwa mfano kwa mwezi [[Titan]] wa Zoai na miezi ya Europa na Ganymed ya Mshtarii.