Anufu ya Farasi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 20:
 
==Jina==
Anufu ya Farasi inayomaanisha “Pua la Farasi” ilijulikana kwa mabaharia Waswahili tangu miaka mingi wakifuata njia yao baharini wakati wa usiku kwa msaada wa nyota. <ref>ling. Knappert 1993</ref>. Walipokea jina hili kutoka kwa Waarabu wanaosema kwa kawaida <big> الأنف</big> ''al-anfu'' inayomaanisha „pua "pua"..
 
Kwa matumizi ya kimataifa [[Umoja wa Kimataifa wa Astronomia]] ulikubali jina la Kiarabu na kuorodhesha nyota kwa jina la "Enif" <ref>[https://www.iau.org/public/themes/naming_stars/ Naming Stars], tovuti ya [[Umoja wa Kimataifa wa Astronomia]] (Ukia), iliangaliwa Novemba 2017</ref> .
Mstari 27:
 
==Tabia==
Anufu ya Farasi ni nyota jitu jekundu katika kundi la spektra K2 ikiwa na umbali wa karibu miaka ya nuru 700. Baada ya miaka milioni kadhaa itakwisha kama nyota kibete cheupe kikubwa. Inawezekana pi aya kwamba italipuka kama nyota nova.
 
Anufu ya Farasi ni [[nyota geugeu]] isiyofuata utaratibu maalumu iliyotambuliwa katika mageuko yake. Wakati mwingine inarusha masi kubwa nje yake na hapo mwangaza wake unaongezeka. Mwaka 1972 ilitazamiwa kuongeza mng’aro kwa muda wa dakika 10 hadi kufikia mwangaza sawa na nyota ya [[Tairi (nyota)|Tairi]] wa mara tano kawaida yake.<ref>Jim Kaler, ENIF (Epsilon Pegasi)</ref>