Nicolas-Louis de Lacaille : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
No edit summary |
No edit summary |
||
Mstari 1:
[[Picha:Lacaille.jpg|240px|thumb|Picha ya Lacaille.]]
'''Nicolas-Louis de Lacaille''' (tamka ''nikola lu-i de lakaiy'', [[Rumigny]], [[Ardennes|departement Ardennes]], [[15 Machi]] [[1713]] - [[Paris]], [[21 Machi]] [[1762]]) alikuwa [[mwanaastronomia]] wa [[Ufaransa]] aliyetunga kundinyota 14 kati ya [[kundinyota]] 88 za kisasa, zote kwenye [[Nusutufe ya kusini]] ya [[Dunia]].
Lacaille alisoma [[
Mwaka [[1750]] alisafiri hadi [[Afrika Kusini]] na hapo alikaa miaka minne kwenye [[Rasi ya Tumaini Jema]]
Alipanga [[majina ya Bayer]] kwa [[Argo (kundinyota)|kundinyota ya Argo]] na kuigawa baadaye kwa kundinyota [[tatu]] mpya za [[Shetri (kundinyota)|Shetri]], [[Mkuku (kundinyota)|Mkuku]] na [[Tanga (kundinyota)|Tanga]].
{{Wikinyota}}
[[Category:waliozaliwa 1713]]
[[Category:Waliofariki 1762]]
|