Pieter Dirkszoon Keyser : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 22:
* ''Den Zuyder Trianghel'' (Triangulum Australe au [[Pembetatu ya Kusini (kundinyota)|Pembetatu ya Kusini]])
 
Baada ya kuonekana kwenye [[atlasi]] ya Plancius [[Jina|majina]] haya yalichapishwa katika taarifa ya Frederick de Houtman kuhusu safari yake na mwaka [[1603]] katika "Uranometria", atlasi ya nyota iliyotolewa na [[Johann Bayer]] iliyoendelea kuwa msingi wa utaratibu wa kutaja nyota unatomiwaunaotumiwa hadi leo.
 
Kundinyota zake zimepokewa na [[Umoja wa Kimataifa wa Astronomia]] kati ya kundinyota rasmi zinazotumika leo hii kimataifa<ref>[https://www.iau.org/public/themes/constellations/ The constellations], tovuti ya [[Ukia]], iliangaliwa Oktoba 2017</ref>.