Ghurabu (kundinyota) : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 13:
Katika mitholojia ya Kigiriki kuna hadithi jinsi gani mungu Apollo alimtuma ndege ya kunguru (Ghurabu) kumchukulia maji kwa bakuli lakini ndege alichelewa kwa sababu alikula matunda njiani. Aliporudi akaeleza kuchelewa kwake kwa uwongo ya kuwa nyoka alimzuia akamwonyesha nyoka kwa kuishika kwenye miguu yake. Apollo alijua ni uwongo akakasirika na kumrusha kunguru (Ghurabu-Corvus) pamoja na bakuli (Batiya-Crater) na nyoka (Shuja-Hydra) kwenye anga wanapokaa kama nyota. Alimwadhibu ndege kwa kuweka bakuli ya maji (Batiya-Crater) karibu naye lakini hawezi kunywa.<ref>Allen, Star-Names and their Meanings uk 180 na [http://www.constellation-guide.com/constellation-list/crater-constellation/ Crater Constellation - Myth], tovuti ya Constellation Guide, iliangaliwa Septemba 2017</ref>
 
Ghurabu ni kati ya kundinyota 48 zilizotajwa tayari na [[Klaudio Ptolemaio]] katika karne ya 2 BK. Iko pia katika orodha ya kundinyota 88 ya [[Umoja wa kimataifaKimataifa wa Astronomia]] <ref>[https://www.iau.org/public/themes/constellations/ The Constellations], tovuti ya International Astronomical Union , iliangaliwa Julai 2017</ref> kwa jina la Corvus. Kifupi chake rasmi kufuatana na [[UKIA]] ni 'Crv'.<ref name="pa30_469">{{cite journal | last=Russell | first=Henry Norris | title=The New International Symbols for the Constellations | journal=[[Popular Astronomy (US magazine)|Popular Astronomy]] | volume=30 | pages=469–71 | bibcode=1922PA.....30..469R | year=1922}}</ref>
 
==Nyota==