Galaksi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 13:
Galaksi zinazojulikana zimepewa namba katika orodha ya kimataifa na [[wanasayansi]] wa [[astronomia]].
 
Galaksi kati yao hujumuika pia zikiathiriana kwa njia ya [[graviti]] yao na kuzunguka kitovu cha graviti cha pamoja. Galaksi hadi 50 zinazoshikamana katika [[kipenyo]] cha [[miaka ya nurumiakanuru]] milioni 10 huitwa [[kundi la galaksi]] (ing. ''galaxy group''). Kuna pia galaksi mamia hadi maelfu kadhaa zinazoshikamana na hii huitwa [[fundo la galaksi]] (ing. ''galaxy cluster'') linaweze kuwa na kipenyo ch miaka ya nuru milioni 10 - 20.
 
==Marejeo==