Majarra ya Mara : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ' {{nyota | jina = Galaksi ya Andromeda (Andromeda Galaxy) | picha = Andromeda Galaxy (with h-alpha).jpg | maelezo_ya_picha = Galaksi ya Andromeda...'
 
Marekebisho
Mstari 18:
}}
 
'''Galaksi ya Andromeda''' (ing. '''Andromeda Galaxy''', inajulikana pia kama '''Messier 31''', '''M31''' au '''NGC 224''') ni [[galaksi]] kubwa iliyo karibu zaidi na galaksi yetu ya [[Njia Nyeupe]]. Umbali wake na [[Dunia]] ni takriban miaka ya nurumiakanuru milioni 2.5. Inaonekana katika eneo la [[kundinyota ya Mara|kundinyota la Mara]] inayoitwalinaloitwa "Andromeda" kwa jina la kimataifa na hii ni chanzo cha jina lake. Ni sehemu ya [[kundi janibu la galaksi]] pamoja na Njia Nyeupe, [[Mawingu ya Magellan]] na takriban galaksi 40 nyingine.
 
Ina [[mwangaza unaoonekana]] wa mag 3.4 na hivyo inaonekana kama nyota hafifu kwa mtazamaji. Hivyo ni [[kiolwa cha anga]] cha mbali kinachoonekana bila [[darubini]].
 
==Tabia==
Umbali wa galaksi ya Andromeda hadi [[Mfumo wa jua|mfumo wa Jua letu]] ni takriban miaka ya nuru milioni 2.5. Kipenyo chake cha jumla (pamoja na fungunyota za nje) ni takriban miaka ya nurumiakanuru milioni moja. Masi yake imekadiriwa kuwa mnamo [[masi za Jua]] 1.5×10<sup>12</sup> au mara [[trilioni]] 1.5 ya masi ya Jua letu. Hivyo ni kubwa kuliko Njia Nyeupe iliyokadiriwa kuwa na [[M☉]] 8×10<sup>11</sup>.
 
Kipenyo cha diski inayoonekana hukadiriwa kuwa miaka ya nurumiakanuru 140,000 hadi 220,000.