Meza (kundinyota) : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
taipo
No edit summary
Mstari 7:
 
==Jina==
Meza ni kati ya kundinyota zilizobuniwa katika enzi ya kisasa. Kama ilivyo kwa nyota nyingine zinazoonekana kutokakwenye nusutufeanga ya kusini pekee haikujulikana kwa Wagiriki wa Kale wala kwa Waarabu. kwaKwa hiyo wataalamu wa Ulaya hawakuwa na habari nazo. Kundinyota hii ilielezwa mara ya kwanza na Mfaransa [[Nicolas-Louis de Lacaille]] wakati wa karne ya 18 kwa jina “Montagne de la Table “ lililomaanishalinalomaanisha “Mlima wa Meza“. Hapo alitaka kuheshimu mlima alioangaliaaliouangalia kila siku yaani [[Mlima wa Meza]] uliopo leo hii kwenye mji wa [[Cape Town]].
 
Lacaille alikaa miaka miwili kwenye [[Rasi ya Tumaini Jema]] (Afrika Kusini) alipotazamaalipokuwa akitazama nyota za anga laya kusini ambazo wakati ule zilianza tu kujulikana kati ya wanaastronomia wa Ulaya. Hapo alipimaAlipima nyota 10,000 na kuzipanga kwakatika kundinyota na kutunga majina kwa kundinyota mpya 14<ref>[http://gallica.bnf.fr//ark:/12148/bpt6k35505/f786.vertical Histoire de l'Académie royale des sciences ]; taarifa ya Lacaille katika "Historia ya Akademia ya Kifalme ya sayansi", uk. 589, Tovuti ya Bibliothèque nationale de France (BnF), iliangaliwa Julai 2017</ref>. Jina la Kifaransa lilitafsiriwa kwa [[Kilatini]] na kufupishwa kama "Mensa“(MesaMeza).
 
Meza imepokelewaiko kati yakatika kundinyota 88 zinazoorodheshwa na [[Umoja wa kimataifaKimataifa wa astronomiaAstronomia]] <ref>[https://www.iau.org/public/themes/constellations/ The Constellations], tovuti ya International Astronomical Union , iliangaliwa Julai 2017</ref> kwa jina la Mensa. Kifupi chake rasmi kufuatana na [[Ukia]] ni 'Men'.<ref name="pa30_469">{{cite journal | last=Russell | first=Henry Norris | title=The New International Symbols for the Constellations | journal=[[Popular Astronomy (US magazine)|Popular Astronomy]] | volume=30 | pages=469–71 | bibcode=1922PA.....30..469R | year=1922}}</ref>
==Nyota==
Nyota za Meza ni chache na dhaifu sana. Hakuna nyota iliyo na mwangaza juu ya [[mag]] 5. Nyota angavu zaidi ni Alpha Mensae yenye [[mwangaza unaoonekana]] wa mag 5.09 ikiwa na umbali wa [[miaka ya nuru]] 33 kutoka [[Dunia]].<ref>[ http://simbad.u-strasbg.fr/simbad/sim-basic?Ident=alpha+mensae&submit=SIMBAD+search LTT 2490 -- High proper-motion star"] SIMBAD. Centre de Données astronomiques de Strasbourg. Iliangaliwa Septemba 2017. </ref>
 
[[Wingu Kubwa la Magellan]] likolinapakani mpakanina wanyota Mezaza naMeza. [[Panji (kundinyota)| Panji]] (Dorado). Kuwepo kwake ilimhamasisha Lacaille kuchagua jina la « Mlima wa Meza » kwa sababu mlima huuCape Town huwa na wingu juu yake akiona mfano wake hapa angani.
 
==Tanbihi==
Mstari 22:
==Viungo vya Nje==
* [http://www.constellation-guide.com/constellation-list/Mensa-constellation Constellation Guide: Mensa constellation]
{{wikinyota}}
{{mbegu-sayansi}}
[[Category:Kundinyota]]