Mjusi (kundinyota) : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 10:
 
==Jina==
Kundinyota hiihili haikujulikanahalikujulikana kwa mabaharia Waswahili wa Kale wala kwa Waarabu au Wagiriki kwa sababu nyota zake ni hafifu sana. Katika enzi ya kale nyota hizi hazikupangwa kuwa sehemu ya kundinyota maalumu. Mjusi ni kati ya kundinyota zilizoanzishwa na mwanaastronomia [[Johannes Hevelius]] wa [[Danzig]] (Gdansk) mnamo mwaka [[1690]] BK. Akiwa mpika pombe na mfanyabiashara tajiri aliyeshika kwa muda pia umeya wa mji wake alikuwa hasa maarufu kwa kuangalia, kupima na kuorodhesha nyota pamoja na mke wake [[Elisabeth Hevelius]].
 
Hevelius aliyelenga kujaza mapengo kati ya kundinyota akiandika kwa Kilatini alichagua jina “Lacerta sive Stellio ” ([[Mjusi]] au [[Salamanda]]) lakini jina la pili halikutumiwa baadaye.
 
Lacerta - Mjusi imepokelewaiko kati ya kundinyota 88 zinazoorodheshwa na [[Umoja wa kimataifa wa astronomia]] kwa jina la Lacerta. Kifupi chake rasmi kufuatana na [[Ukia]] ni 'Lac'.<ref>[https://www.iau.org/public/themes/constellations/ The constellations], tovuti ya [[Ukia]], iliangaliwa Oktoba 2017</ref>
 
==Nyota==