Mhindi (kundinyota) : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
<sup>Kwa maana tofauti ya jina hili tazama [[Muhindi]] na [[Uhindi]]</sup>
[[Image: Mhindi Indus.png |thumb|right|400px|Nyota za kundinyota Mhindi (Indus) katika sehemu yao ya angani]]
'''Mhindi''' (kwa [[Kilatini]] na [[Kiingereza]] ''[[:en:Indus|Indus]]'') <ref>[[Uhusika milikishi]] ''([[:en:genitive]])'' ya neno "Indus" katika lugha ya [[Kilatini]] ni "Indi" na hili ni umbo la jina linaloonekana katika majina ya nyota za kundi hili kama vile Alfa Indi, nk.</ref> ni [[jina]] la [[kundinyota]] kwenyelinaloonekana [[nusutufe yakatika kusini]]angakusi ya [[duniaDunia]] yetu.
 
==Mahali pake==
Mhindi ikoinapatikana kati ya nyota angavu za Alnair (aα Alfa Gruis) katika Kuruki na Peacock (aα Alfa Pavi) katika Tausi. Inapakana na kundinyota za [[Kuruki (kundinyota)|Kuruki]] (''[[:en:Grus|Grus]]'') na [[Hadubini (kundinyota)| Hadubini]] (''[[:en:Microscopium| Microscopium]]'') upande wa kaskazini, [[Darubini (kundinyota)|Darubini]] (''[[:en: Telescopium]]'') na [[Tausi (kundinyota)|Tausi]] ([[:en:Pavo|Pavo]]) upande wa mashariki, [[Thumni (kundinyota)|Thumni]] (Octans) upande wa kusini na [[Tukani (kundinyota)|Tukani]] (Tucana) upande wa magharibi.
 
==Jina==
Mhindi niinapatikana kati ya kundinyota zilizobuniwa tangu mabaharia Wazungu kuzunguka dunia yote yaanikatika karne ya 16 na kuona mara ya kwanza nyota za kusini. HazikujulikanaHazikutajwa kwakatika vitabu vya Wagiriki wa Kale au Waarabu waliojifunza kutoka kwao. Kundinyota hii ilielezwa mara ya kwanza na mabaharia Waholanzi [[Pieter Dirkszoon Keyser]] na Frederick de Houtman katika safari yao ya kuelekea [[Indonesia]] zikaonyeshwa mara ya kwanza mwaka 1598 katika [[globu ya nyota]] ya [[Petrus Plancius]] na kupokelewa katika “Uranometria” ya [[Johann Bayer]]..
 
Keyser alitumia jina la [[Kiholanzi]] “De Indiaen” (yaani Mhindi) iliyotajwalililotajwa baadaye kwa jina la [[Kilatini]] „Indus“. Jina hili alitumiaalilitumia kama kumbukumbu ya watu alioonaaliowaona mara ya kwanza katika maisha yake kwenye eneo la Bahari Hindi. Uhindi ya leoHindi hakufika lakini aliita wenyeji wapale Madagaska na piakwenye visiwa vya Indonesia kwa jina hili. Baadaye ilichukuliwaalichukuliwa kwa lughamara kadhaa kwa maana ya “Wahindi Wekundu” yaani Maindio wa Marekani lakiniambayo si maana ya kiasili.
 
Leo ikoMhindi ipo pia katikatika orodha ya kundinyota 88 zinazoorodheshwa na [[Umoja wa kimataifa wa astronomia|Umoja wa Kimataifa wa Astronomia]] <ref>[https://www.iau.org/public/themes/constellations/ The Constellations], tovuti ya International Astronomical Union , iliangaliwa Julai 2017</ref>. Kifupi chake rasmi kufuatana na [[Ukia]] ni 'HinInd'.<ref name="pa30_469">{{cite journal | last=Russell | first=Henry Norris | title=The New International Symbols for the Constellations | journal=[[Popular Astronomy (US magazine)|Popular Astronomy]] | volume=30 | pages=469–71 | bibcode=1922PA.....30..469R | year=1922}}</ref>
 
==Nyota==
Mhindi haina nayota angavu sana. Nyota angavu zaidi ni α Alfa Indi yenye [[uangavu unaoonekana|mwangaza unaoonekana]] wa [[mag]] 3.1 ikiwa na umbali kutuka duniani wa Dunia wa [[miaka ya nuru|miakanuru]] 101<ref>[ http://stars.astro.illinois.edu/sow/persian.html The Persian (Alpha Indi)], tovuti ya Prof. Jim Kaler, university of Illinois, iliangaliwa Oktoba 2017; Kaler anatumia kwa nyota hii jina la Kichina “The Persian” isiyo kawaida</ref>. Beta Indi ina mag 3.7 ikiwaipo miakakwa yaumbali nuruwa miakanuru 600 kutoka kwetu, inafuatwa na. Delta Indi yenyeina mag 4.4 na ipo umbali wa miakay a nurumiakanuru 185.
 
Epsilon Indi yenye mag 4.69 ni kati ya nyota zilizo karibu sana na Dunia ikiwa na umbali wa miaka ya nurumiakanuru 11.8.
 
==Tanbihi==