Anga : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 1:
[[File:Bewölkter Himmel.jpg|thumb|Anga lenye mawingu.]]
[[picha:NASA-Apollo8-Dec24-Earthrise.jpg|thumb|Anga la mwezi ni jeusi; angani ikoinaonekana dunia yetu. Kama dunia yetu isingekuwa na angahewa kama mwezi rangi ya anga ingekuwa nyeusi pia.]]
Ni'''Anga''' ''(mara nyingi pia: '''mbingu''')'' ni uwazi ule mkubwa; tukisimamatunaoona juu yetu tukiinua [[kichwa]] nje ya [[jengo]]. Tukisimama kwenye [[tambarare]] au juu ya [[mlima]] kwenye [[mchana]] bila ma[[wingu]] unaonekana kama [[nusutufe]] yenye [[rangi]] ya [[buluu]]. Ile buluu inaongezeka tukitazama juu zaidi kulingana na sehemu karibu na [[upeo]]. Wakati wa [[usiku]] anga ni jeusi lakini limejaa [[nuru]] za [[nyota]].
 
'''Anga''' ''(mara nyingi pia: '''mbingu''')'' ni uwazi ule tunaoona juu yetu tukiinua [[kichwa]] juu nje ya [[jengo]].
 
Ni uwazi mkubwa; tukisimama kwenye [[tambarare]] au juu ya [[mlima]] kwenye [[mchana]] bila ma[[wingu]] unaonekana kama [[nusutufe]] yenye [[rangi]] ya [[buluu]]. Ile buluu inaongezeka tukitazama juu zaidi kulingana na sehemu karibu na [[upeo]]. Wakati wa [[usiku]] anga ni jeusi lakini limejaa [[nuru]] za [[nyota]].
 
Kwa [[lugha]] nyingine anga ni eneo la [[angahewa]] au upeo unaojaa [[hewa]] juu ya uso wa [[ardhi]]. Sehemu hiyo imejaa [[molekuli]] za [[gesi]] za angahewa hasa [[nitrojeni]] na [[oksijeni]]; ni [[molekuli]] hizo zinazoakisisha [[nuru]] ya [[jua]] na kusababisha rangi ya buluu ya anga wakati wa mchana. Bila hewa, anga lingekuwa jeusi muda wote jinsi lilivyo mwezini (linganisha picha).
Line 13 ⟶ 10:
 
==Anga la nje==
Anga halina mwisho. Pale tunapojadili sehemu kubwa iliyoko nje ya angahewa tunaweza kuita [[anga la nje]] na hii ni upeo wa [[mwezi]], [[sayari]], [[jua]] na [[nyota]]. [[Sayansi]] ya [[astronomia]] inaifanyia [[utafiti]].
 
Anga la nje ni karibu hali ya [[ombwe]] yaani utupu ambako kwa [[umbali]] mkubwa tu kuna [[magimba ya angani]] au [[vumbi]]. Lakini imejaa [[mnururisho]] wa aina mbalimbali na [[kani]] kama [[graviti]].
 
==Anga na mbingu==