Njiamzingo : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 22:
 
==Historia ya utafiti wa obiti==
Zamani watu walifikiri ya kwamba [[jua]] lina obiti ya kuIzungukakuizunguka dunia kila siku jinsi inavyoonekana kwa macho.: Jua linachomoza upande mmoja wa upeo wa anga wakati wa [[asubuhi]] na kuzama chini upande wa pili wakati wa [[jioni]].
 
Kwa hiyo [[wataalamu]] [[Wagiriki wa Kale]] kama [[PtolemeoKlaudio Ptolemaio]] waliwaza obiti za jua na sayari za kuzunguka dunia na obiti hizi zilikuwa na [[umbo]] la [[duara]] kamili.
 
Kuanzia [[utafiti]] wa akina [[Koperniko]] na [[Galilei]] ilitambuliwa ya kwamba ni dunia ndiyo inayozunguka Jua pamoja na sayari nyingine, kila moja kwenye obiti yake. Ilionekana pia ya kwamba obiti hizihizo si duara kamili lakini zinalingana zaidi na [[duaradufu]].
 
Kuanzia utafiti wa akina [[Koperniko]] na [[Galilei]] ilitambuliwa ya kwamba ni dunia ndiyo inayozunguka Jua pamoja na sayari nyingine, kila moja kwenye obiti yake. Ilionekana pia ya kwamba obiti hizi si duara kamili lakini zinalingana zaidi na [[duaradufu]].
== Kipindi cha obiti ==
''Kipindi cha obiti'' ni muda unaotumiwa na gimba kama satelaiti, mwezi au sayari kuzunguka gimba mama.