Wikipedia : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 21:
Kisheria maudhui yote ya Wikipedia si mali ya mtu yeyote ikiwa maudhui huria. [[Seva]] za wikipedia na programu zake zinatunzwa na taasisi ya [[Wikimedia Foundation]] ambayo ni shirika lisilo la kiserikali lililoandikishwa chini ya sheria za jimbo la Kalifornia, Marekani. Taasisi hii inapokea mapato yote kutoka kwa wafadhili wa kujitolea kote duniani.
 
==Taasisi ya kitaifa na makundi ya watumiaji==
Katika nchi mbalimbali kuna shirika za kitaifa zinazojumuisha wanawikipedia ama kwa umbo la taasisi au kwa umbo la makundi ya watumiaji (Wikimedia User Groups).