Msaada:Interwiki : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Interwiki.png|thumb|300px|Bofya hapa kuona picha vizuri zaidi]]
'''Interwiki''' ni orodha ya viungo vya mada fulani na makala za kufanana katika wikipedia za lugha mbalimbali.

Katika ukurasa unaosoma sasa hivi orodha ipo upande wa kushoto nje ya makala chini ya "Lugha nyinginezingine". Hapa unaonautaona majina kama AlemannischDeutsch, العربيةEnglish, Català,فارسی Česky, EnglishFrançais na kadhalika. Zote ni rangi ya buluu maana ni viungo kwenda kurasa za "Mwongozo wa wikipedia" (Help:Interlanguage links) kwa lugha hizi.
 
Ukianzisha makala mpya na kuihifadhi utaona hakuna majina ya lugha buluu bado. Bofya "Add links" utaona dirisha dogo. Humo unaandika juu "enwiki" na kuthibitisha, chini yake unaandika jina la makala husika katika Wikipedia ya Kiingereza. Thibitisha tena na sasa makala yako ya Kiswahili imeunganishwa na namba ya mada yake katika orodha "Wikidata" inayoorodhesha makala za Wikipedia zote. Sasa itaonyesha lugha nyingine kwa rangi ya buluu na makala yetu ya Kiswahili inaonekana pia kwa wasomaji wa lugha nyingine. Hii ni msaada mkubwa kwa wahariri wanaoweza kusoma lugha mbalimbali na kuongeza habari kutoka huko.