Tana (mto) : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Tana 39.41642E 0.95086S.jpg|thumb|[[Chanzo]] cha Tana ([[picha]] kutoka [[Anga|angani]]).]]
[[Picha:DM-SD-02-04679.jpg|thumb|Mto Tana mwaka 1998 wakati wa [[El Nino]].]]
[[Picha:DM-SD-01-06042.jpg|thumb|Mto Tana mwaka 1998 wakati wa [[El Nino]].]]
'''Tana''' ni [[jina]] la [[mto]] mrefu kuliko [[Mito ya Kenya|yote]] ya [[Kenya]] ukiwa na [[urefu]] wa takriban [[km]] 650.
 
[[Chanzo (mto)|Chanzo]] chake ni [[milima]] ya [[Aberdare]] [[magharibi]] kwa [[Nyeri]]. Mwanzoni unelekea [[mashariki]], halafu inapinda kuzunguka [[Mlima Kenya]] upande wa [[kusini]]. Kisha huingia ndani ya [[bwawa|mabwawa]] ya [[Masinga]] na [[Kiambere]] yaliyotokana na [[bwawa la Kindaruma]]. Chini ya [[bwawa]] mto huu hugeuka kuelekea [[kaskazini]] na kutiririka mpaka wa kaskazini-kusini kati ya [[Kaunti za Kenya|kaunti]] za [[Meru]] na [[Kitui Kaskazini]] na, [[Bisanadi]], [[Kora]] na [[Hifadhi ya wanyama ya Rabole]]. Ndani ya hifadhi hugeuka kuelekea [[mashariki]], na kisha kusini mashariki.
 
Kati ya mito inayoingia mto wa Tana kuna [[Thika (mto)|mto Thika]].