Tanzania : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Mstari 294:
 
Usafiri wa majini pia unafanyika hasa katika bahari ya Hindi, hakuna meli ya serikali hapo na mashirika binafsi hutoa huduma.
Usafiri wa majini hufanyika pia katika maziwa ya Victoria,Tanganyika na Nyasa. Miongoni mwa Melimeli ni [[MV Bukoba]] iliyozama mwaka [[1996]]
 
Katika ziwa Tanganyika ipo meli ya Mv Liemba ambayo ilianza kutumika tangia kipindi cha ukoloni was wajerumani, inatoa huduma kati ya miji ya mwambao wa ziwa Tanganyika na nchi jirani