George H. Bush : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 40:
|website = {{url|bushlibrary.tamu.edu|Presidential Library}}
}}
'''George Herbert Walker Bush''' (alizaliwa [[12 Juni]] [[1924]] - [[30 Novemba]] [[2018]]) alikuwa Rais wa 41 wa [[Marekani]] kuanzia mwaka wa [[1989]] hadi [[1993]]. Kaimu Rais wake alikuwa [[Dan Quayle]].
 
Akijulikana kama George Bush aliwahi kuwa mbunge, balozi wa Marekani, mkuu wa mamlaka ya upelelezi CIA na makamu wa rais [[Ronald Reagan]]. Alikuwa mwanasiasa wa [[Chama cha Jamhuri cha Marekani|Chama cha Jamhuri cha Marekani (Republican)]].
 
Kipindi cha uraisi wa Bush kiliona kuporomoka kwa [[ukomunisti]] katika [[Urusi]] na [[Ulaya ya Mashariki]] na mwisho wa [[vita baridi]]. Alitafuta maelewano na viongozi wa Urusi na kukubali maungano ya [[Ujerumani]]. Alituma jeshi la Marekani kwenye uvamizi wa Panama mwaka 1989 uliompindua dikteta Manuel Noriga na kwenye vita dhidi [[Irak]] iliyowahi kushambulia [[Kuwait]].
 
Mwana wake [[George W. Bush|George Walker]] aliingia pia katika siasa akaendelea kuwa rais wa 43 wa Marekani.
 
== Tazamia pia ==
Line 51 ⟶ 57:
{{DEFAULTSORT:Bush, George Herbert}}
[[Jamii:Waliozaliwa 1924]]
[[jamii:Walifariki 2018]]
[[Jamii:Watu walio hai]]
[[Jamii:Marais wa Marekani]]