Tanzania : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Mstari 291:
Mashirika mawili ya reli yanayohudumia Tanzania: ni TRC ([[Shirika ya Reli Tanzania]] - Tanzania Railways Corporation) na [[TAZARA]] (Tanzania-Zambia Railways Corporation). TRC imetawala reli ya kati kuanzia Dar es Salaam hadi [[Kigoma]] halafu reli ya Tanga kati ya Tanga na Arusha. Tazara imeunganisha Dar es Salaam na kusini ya nchi hadi Zambia. Zote hazikutunzwa vizuri na usafiri unakumbwa na huduma mbaya pamoja na [[ajali]].
 
Huduma kwa ndege zatumiazinatumia hasa viwanja vya ndege 11 vyenye barabara ya lami kwa ajili ya ndege, hasa [[Uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere|Julius Nyerere/Dar es Salaam]], [[Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro|Kilimanjaro /Arusha-Moshi]] na [[Zanzibar]]-Kisauni. Pia kuna viwanja vingine vya ndege ambavyokama nivile uwanja wa ndege wa Mwanza, Bukoba na Kigoma.
 
Usafiri wa majini pia unafanyika hasa katika bahari ya Hindi, ingawa hakuna meli ya serikali hapo na mashirika binafsi hutoa huduma. Usafiri wa majini hufanyika pia katika maziwa ya Viktoria, Tanganyika na Nyasa. Miongoni mwa meli ni [[MV Bukoba]] iliyozama tarehe [[21 Mei]] [[1996]] pamoja na abiria karibu 1,000 na [[MV Nyerere]] iliyozama tarehe [[20 Septemba]] [[2018]] pamoja na abiria zaidi ya 200.
Usafiri wa majini hufanyika pia katika maziwa ya Victoria,Tanganyika na Nyasa. Miongoni mwa meli ni [[MV Bukoba]] iliyozama mwaka [[1996]]
 
Katika ziwa Tanganyika ipo meli ya Mv Liemba ambayo ilianza kutumika tangia kipindi cha ukoloni waswa wajerumani,Wajerumani: inatoa huduma kati ya miji ya mwambao wa ziwa Tanganyika na nchi jirani.
 
Mwaka 2017 ulianza ujenzi wa awamu ya kwanza ya njia ya [[geji sanifu]] nchini Tanzania inayolenga kuunganisha [[Dar es Salaam]] na [[Morogoro]]<ref>[http://www.theeastafrican.co.ke/business/Tanzania-railway-construction/2560-3801608-6plii9/index.html Turkish, Portuguese firms win bid to construct Tanzania’s SGR], tovuti ya theeastafrican.co.ke ya 6 Februari 2017, iliangaliwa Mei 2017</ref>. Njia hii inatarajiwa kuendelea hadi [[Mwanza]] na hatimaye hadi [[Burundi]].