Tofauti kati ya marekesbisho "Anselm wa Canterbury"

1 byte added ,  miaka 2 iliyopita
no edit summary
(Tengua pitio 1023297 lililoandikwa : this Candia thing is a hoax and doesn't appear anymore on the original article from which this one was translated. Please check the sources.)
Tag: Undo
Mwaka uliofuata, kisha kuishi kidogo huko [[Avranches]] na kutathmini [[wito]] wake, aliingia rasmi [[malezi ya kitawa]] kama [[mnovisi]] akiwa na miaka 27 akapata [[upadrisho]].
 
Kuanzia hapo [[kanuni]] ya [[Benedikto wa Nursia]] iliathiri kabisa mawazo na maisha yake.<ref>R. Southern. ''St. Anselm: Portrait in a Landscape.'' (CambrideCambridge University Press: 1992), pp. 32. http://books.google.com/books?hl=en&lr=&id=lxf-LvQvvwIC&oi=fnd&pg=PR15&dq=anselm+of+canterbury+r-southern&ots=e6-_fZ6v0B&sig=3rOwM0tvC4VVInlSWl099J0dyjE#PPA8,M1</ref>
 
[[Juhudi]] za kiroho pamoja na masomo vilimfanya arudie katika [[ngazi]] ya juu [[urafiki]] na [[Mungu]] aliokuwanao utotoni.
9,527

edits