Isa : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
lengo la ukurasa
No edit summary
Mstari 1:
Ukurasa huu unahusu imani ya [[Waislamu|Uislamu]] kumhusu [[Yesu]] kadiri ya Kurani. Ingawa hao wanakiri pia vitabu vitakatifu vya Torati, Zaburi na [[Injili]], katika ibada wanatumia Kurani tu na kwa kawaida ndiyo chanzo chao cha habari kuhusu watu na matukio ya kabla yake. Kwao Nabii '''Isa''' ni [[mtume]] anayeaminiwa na [[Uislamu|Waislamu]] kama mmojawapo wa mitume watukufu wa Mwenyezi [[Mungu]] walioletwa kwa ajili ya kuwaongoza wanadamu duniani, naye ni miongoni mwa mitume wakubwa ambao Mwenyezi Mungu amewasifu kwa subira yao na ustahimilivu wao mkubwa: Manabii [[Nuhu]] na [[Ibrahim]] na [[Musa]] na Isa na [[Muhammad]]. Yeye ni miongoni mwa Mitume waliopewa Kitabu kutoka kwa Mwenyezi Mungu kiitwacho Injili. Wakristo wanamuita kwa kawaida[[Yesu Kristo]].
 
Kwao Nabii '''Isa''' ni mmojawapo[[mtume]] waanayeaminiwa 124,000kuwa mmojawapo wa mfululizo wa Mitumemitume na Manabiimanabii watukufu 124,000 wa Mwenyezi [[Mungu]] walioletwa ulimwenguni kuwaleteakuwapasha wanadamu ujumbe wa Mwenyezi Mungu kuhusu upweke na umoja wake, naili kumuabuduwamuabudu Yeye peke yake akiwa ndiye Muumba na Mruzuku wao hapa duniani. Mitume na Manabii hawa wameletwa katika zama mbalimbali na kwa watu, kaumu na umma mbalimbali, na mfululizo huu ulianza na Adamu, baba wa wanadamu wote, hadi Mtume Muhammad akiwa ndiye wa mwisho. Yeye ni miongoni mwa mitume wakubwa ambao Mwenyezi Mungu amewasifu kwa subira yao na ustahimilivu wao mkubwa: Manabii [[Nuhu]] na [[Ibrahim]] na [[Musa]] na Isa na [[Muhammad]]. Tena ni miongoni mwa Mitume waliopewa Kitabu kutoka kwa Mwenyezi Mungu kiitwacho Injili. Wakristo wanamuita kwa kawaida [[Yesu Kristo]].
 
==Kuzaliwa kwake==
 
Habari za kuzaliwa kwake Nabii Isa zinapatikana katika Kurani, surat "Maryamu" (19) kuanzia aya 16 - 35.
Line 14 ⟶ 15:
==Ujumbe wake==
 
Nabii Isa aliletwa kwa wanadamu kufikisha ujumbe kwao wa kuwafahamisha kuwa Mwenyezi Mungu ni Mmoja hana mwenzake, na kuwa Yeye pekee ndiye mwenye kustahili kuabudiwa kwa haki, na ujumbe huu ndio ujumbe uliotumwa kwa Mitume na Manabii wote kwa wanadamu ili kuwaongoza, naye alikuja kutilia mkazo na kusisitiza jambo hili na kupakuzipa nguvu tume za Mitume na Manabii waliopita. Ujumbe wake ulikuwa ni wa mwisho kabla ya ujumbe wa Mtume Muhammad ambao ndio ulikuwa wa mwisho kabisa kwa wanadamu wote. Alipokuja alitabiri kuwa atakuja baada yake MtumeMmoja ambaye atawafundisha wanadamu ukweli wote na kuwaongoza kwenye haki na kuwaeleza kila wanalolihitaji katika maisha yao.
 
==Kitabu cha Nabii Isa==
 
Mwenyezi Mungu ameleta Mitume na Manabii wengi ulimwenguni, lakini alichagua baadhi yao na kuwateremshia vitabu vya uongozi na sharia na hekima kwa wafuasi wao. Katika vitabu vilivyoteremshwa kwa Manabii mbalimbali ni Taurati kwa Nabii Musa, Zaburi kwa Nabii Daudi, [[Injili]] kwa Nabii Isa, na Qurani kwa Nabii Muhammad. Kitabu cha Nabii Isa kiliteremshiwa Wayahudi ambao ndio walengwa wake wa kwanza wa Nabii Isa, kama ilivyothibitishwa na Qurani wakati aliposema:
 
:''Enyi Wana wa Israili! Hakika mimi ni Mtume wa Mwenyezi Mungu kwenu, ninayethibitisha yaliyokuwa kabla yangu katika Taurati, na mwenye kubashiria Mtume atakayekuja baada yangu jina lake ni Ahmad! Lakini alipowaletea hoja zilizo wazi, walisema: Huu ni uchawi ulio wazi!''
Line 27 ⟶ 29:
==Imani ya Kikristo kuhusu Isa==
 
Muhammad alikuta Wakristo au Manasara wanahitilifianawakiwa wamehitilifiana katika imani yao kuhusu Nabii Isa, kwani wengiwote wanamchukuliawalimkiri kuwa ni Mwana wa Mungu, nilakini Mungukwa aliyejifanyawengi mtu,hii ilikuwa na wachache wanamchukuliamaana kuwa yeye ni MtumeMungu aualiyejifanya Nabiimtu, tuisipokuwa wachache walitafsiri tofauti. Makundi hayaya namna hiyo yalitofautianayalitengana baada ya kuondoka Nabii Isa kuondoka ulimwenguni na kuwaachia wafuasi wake waendeleze kazi yake ya kutangaza dini ya Mwenyezi Mungu. Wafuasi waliokuja baada yake, mbali naya wale kumi na mbili waliokuwa pamoja naye, walikuja nawalitoa fikra na mawazo mengineyao kuhusu Isa au [[Yesu]] kama anavyojulikana na Wakristo, nahivyo baada ya muda waligawanyika makundi mbalimbali.
 
==Kurudi kwa Nabii Isa==
 
Waislamu pamoja na Wakristo wanaamini kuwa Isa au Yesu atarudi tena ulimwenguni kukamilisha kazi yake aliyoiacha baada ya kupaa kwenda kwa Mola wake, na haya yanaelezwa katika vitabu vya dini vya Kiislamu na vya Kikristo, lakini wanahitilifiana kuhusu namna na njia aliyoondokea ulimwenguni. Waislamu wanasema kuwa Isa alichukuliwa na Mola wake na kupandishwa kwake mbinguni baada ya Wayahudi kutaka kumuua, na kwa hivyo hawakuweza kumuua wala kumsulubu. Wakristo kwa upande mwingine, wanaamini kuwa aliwahi kusulubiwa na kuzikwa kisha akafufuka siku ya tatu. Muhimu hapa ni kujua kuwa Isa au Yesu atarudi tena duniani kukamilisha kazi yake aliyopewa na Mwenyezi Mungu.
 
[[Category:Uislamu]]