Wikipedia:Sanduku la mchanga : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 15:
 
 
Asante MUNGU Kwa kuniwezesha katika maisha yangu hadi nimekua umenilinda na kunitunza kama ndege.nashukuru maana MUNGU umefanya upendeleo kwangu,hata ukaniepusha na matatizo mengi pamoja mikosi. Hadi leo bwana u karibu yangu ukiniongoza kazini, nikiangalia wengi wanalia sababu ya njaa,lakini kwangu umefanya upendeleo nakula nashiba. Pia nikiangalia wagonjwa mahospitali wanalia wengine hawana matumaini ya kupona.basi KWAKO MUNGU nasema asante kwa wema wako wa ajabu. Umeniwezesha kutunza torati yako nisivunje hata sabato zako.amen sabbath
== Binafsi ==
MB Salone alizaliwa mjini [[Freetown]], [[Sierra Leone]] na ametoka kwa kabila la Wafula wa Sierra Leone. Alizaliwa wakati nchi yake iliathirika na vita zidi ya [[mali asili]] hasa [[Almasi]] ya Sierra Leone. Akiwa mtoto mdogo wa miaka miwili alipata ajali mbaya alipoanguka chini kutoka gorofa la pili na kupasua [[paji lake la uso]]. Ilimulazimu kufanyiwa [[Upasuaji|operesheni]] iliomuacha na kovu kubwa usoni anayoivalia mpaka wa leo.<ref name=":2" />
 
Akiwa miaka sita aliponea chupu chupu kutekwa nyara na [[waasi]] wa kivita na mda mfupi baadaye alikimbilia Marekani kama [[mkimbizi]] asiye na kibali. Alikimbilia Jacksonville na kuungana na baadhi ya wanafamilia wake waliokuwa wamemtangulia na kujiunga na shule za marekani.<ref name=":2" />
 
Shuleni MB Salone alikuwa na wakati mgumu na hakuhitimu mitihani yake. Mara kwa mara alijipata taambani tokana na uchechi wake na utovu wa nidhamu uliochangia pakubwa kufeli mitihani.<ref name=":4" /> Akiwa darasa la saba unga ulizidi maji na akatiwa mbaroni alipoiba duka la Target [[Jacksonville, Florida]] Shauku yake ya muziki ilikuwa inakita mizizi na mwaka wa 2007 akiwa shule ya upili ya Wolfson mle Jacksonville Florida alikuwa ashaanza kutengeneza mindondo ya R&B and Trap. Kwa bahati mbaya uundaji wa midundo ulikuwa unachukua muda wake mwingi na masomo yake shuleni yaliendelea kudidimia na hatimaye alifukuzwa shuleni akiwa mwaka wake wa mwisho kwa kutohudhuria darasa mara mingi. MB Salone alibahatika kurudi shuleni na mwaka wa 2014 akajiunga na chuo cha kiufundi cha wanajamii ya Prince Georges ([[Prince George's Community College]]) iliyoko Largo, katika [[Prince George's|kaunti ya Prince George's]], [[Maryland]] . Alifuzu programu ya GED na akapata stashahada yake mwaka wa 2015.<ref name=":2" />
 
== Utayarishaji Rekodi ==