Taaluma : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
 
Mstari 1:
[[Picha:JesusFollower andof theRibera doctors- ofChrist among the Faith dsc01783Doctors.jpg|thumb|[[Yesu]] na [[wataalamu]] wa [[imani]] ya [[dini]] ya [[Uyahudi]].]]
[[Picha:University of Dar es Salaam (2823305408).jpg|thumb|[[Chuo Kikuu cha Dar es Salaam]] kinaandaa wataalamu wengi.]]
'''Taaluma''' (kutoka [[neno]] la [[Kiarabu]]) ni [[ujuzi]] wa [[fani]] fulani uliotokana na [[mafunzo]] maalumu ya [[elimu]], kusudi la kutoa [[ushauri]] na [[huduma]] kwa wengine Kwa fidia ya moja kwa moja na ya uhakika, kabisa bila matarajio ya faida nyingine ya [[biashara]].