Wikipedia:Sanduku la mchanga : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Dawa ya majani ya mpera.
Tag: Replaced
d Masahihisho aliyefanya Musa m. Sabbath (Majadiliano) yalirejeshwa hadi sahihisho la mwisho na Sarahwllms
Tag: Rollback
Mstari 1:
Put the test on this page. Weka majaribio yako katika ukurasa huu. --[[User:Muddyb Blast Producer|'''Mwanaharakati''']][[User talk:Muddyb Blast Producer|'''Longa''']] 12:04, 23 Julai 2012 (UTC)
Je, majani ya mpera ni dawa? Tafadhali soma (hapa)

mti wa mpera ni dawa ya magonjwa mbalimbali,ikiwemo na uponyeshaji wa kifua,tezi dume,nguvu za kiume,fizi,chunusi, n.k hatua ya kwanza unachukua majani ya mpera unayasaga na kuyakausha weka maji na yachemshe majani ya mpera yaani kama chai harafu chukua chupa ili uhifadhi tayari kwa matumizi. Pia majani ya mpera yanaponesha kisukari.pia yanatibu kwa wanawake walio na hedhi.
'''Gonga "hariri", weka maandishi yako chini ya sehemu hii,''' cheza kwa kutumia alama ndogo za "editor" zilizopo juu ya dirsha la hariri, hifadhi. Rudia ukifuta yote ISIPOKUWA HIZI MISTARI MIWILI YA MAELEZO. '''[[Mtumiaji:Kipala|Kipala]] ([[Majadiliano ya mtumiaji:Kipala|majadiliano]])''' 07:54, 2 Februari 2013 (UTC)
Imeandikwa na DK. Hebaroah

'''ANZA HAPO CHINI - START BELOW THIS:'''
Uko huru kufuta yote yaliyo chini ya hapo

{{Use mdy dates|date=March 2018}}
{{Infobox musical artist|MB Salone 2018|Background=non_performing_personnel|Jina=MB Salone|Jina la kuzaliwa=Mohamed Bailor Barrie|tarehe ya kuzaliwa={{birth date and age|mf=yes|1990|8|17|df=yes}}|Img=Mb Salone 2018.jpg|Imge_size=320px|Asili yake=[[Sierra Leone]], [[Africa]]|Kazi yake=[[Mtayarishaji wa rekodi]], [[mwimbaji]], [[Mhariri wa Blogu]], [[Mpiga Picha]]|Aina={{hlist| [[Hip hop music|Hip hop]], [[Contemporary R&B|R&B]], [[Trap]], [[Pop]] }}|Miaka ya kazi=2011 –|Studio=Medialegendz LLC|Ameshirikiana na=[[Dj Unk]]
[[ Young Dro]]
[[ Lil Key]]
[[Fred Marshall]]
[[ Mike Snooty Miller]]
[[Dj J. Remy]]
[[Kylie Beniamino]]
[[Thisis50]]|Tovuti=https://www.mbsalone.com/}}

'''Mohamed Bailor Barrie''' (aliyezaliwa Agosti 17, 1990) anayejulikana zaidi kwa jina lake la kisanii kama '''MB Salone''' ni [[Mtayarishaji wa Muziki|mtayarishaji wa rekodi]] za muziki wa [[Hip hop|Hiphop]], Trap na [[Muziki wa R&B|RNB]], wa [[Los Angeles]], [[Marekani]] mwenye [[asili]] ya nchi ya [[Sierra Leone]], [[Afrika]]. <ref name=":0">{{Cite web|url=http://www.salonetoday.com/sierra-leonean-music-producer-mb-salone-excels-in-the-us/|title=SIERRA LEONEAN MUSIC PRODUCER MB SALONE EXCELS IN THE US – Salone Today|author=|date=27 February 2018|language=en-US|work=Salone Today|accessdate=2018-07-12}}</ref> <ref name=":1">{{Cite web|url=http://www.imdb.com/name/nm9720466/bio|title=MB Salone|last=Kanja|first=Peter|date=|language=en-US|work=IMDb|accessdate=12 July 2018}}</ref><ref name=":2">{{Cite Web|url=https://kilele254.wordpress.com/2018/03/05/the-unforgiving-dark-story-behind-mb-salone-childhood/|title=The Sad Dark Story Behind MB Salone Childhood|author=Peter K.|date=5 March 2018|work=Kilele 254|language=en-US|accessdate=12 July 2018}}</ref> MB Salone alianza utayarishaji rekodi mwaka wa 2011 akiwa mwanafunzi wake [[Mike Snotty Miller]]; mtayarishaji rekodi na mshindi wa tuzo za [[Grammy]].<ref name=":1" /><ref name=":2" /> Salone ametayarisha rekodi mingi na rekodi zingine zake zilitumika katika vipindi za MTV kama vile muziki wake [[Lil Key]] - "Short Right There" aliourekodi akishirikiana naye [[Mr. Wilson]]. Rekodi hii ilitumika katika vipindi "My Super Sweet 16" na "Rap Game" msimu wa pili za MTV. Ameteuliwa mara tano kwa tuzo za almasi za Duval (Duval Diamonds awards) kitengo cha mtayarishi rekodi bora wa mwaka 2012, 2013, 2014, 2015 na 2016.<ref name=":1" /><ref name=":2" /> Pia ameteuliwa kama mtayarishaji bora wa mwaka kwa tuzo za wananchi wa Afrika Magharibi ("The West Africa Citizens Awards") za mwaka wa 2018.<ref>{{Cite web|url=https://www.wafricawards.com/2018/05/wafric-awards-2018-nominees.html?m=1|title=WAFRIC AWARDS 2018' NOMINEES|work=www.wafricawards.com|accessdate=2018-07-12}}</ref>

Katika utenda kazi wake amewatayirishia wanamuziki wengi vibao ikiwemo Fred Marshall, Kylie Benuamo, DJ UNK, Tokyo Jetz, Yung Dro, Lil Key, T. Rone and wengine wengi. <ref name=":0" /><ref name=":3">{{Cite Web|url=http://www.salonemusic.net/7635/top-sierra-leone-producer-mb-salone-releases-his-anticipated-instrumental-album.html|title=Top Sierra Leone Producer - MB Salone Releases His Anticipated Instrumental Album|author=Salone Music|date=March 2018|language=en-US|work=ZambianMusic.net|accessdate=12 July 2018}}</ref><ref name=":4">{{Cite web|url=https://www.musicinafrica.net/directory/mb-salone|title=MB Salone|author=Music in Africa|date=|language=en|work=Music In Africa Website|accessdate=12 July 2018}}</ref>

== Binafsi ==
MB Salone alizaliwa mjini [[Freetown]], [[Sierra Leone]] na ametoka kwa kabila la Wafula wa Sierra Leone. Alizaliwa wakati nchi yake iliathirika na vita zidi ya [[mali asili]] hasa [[Almasi]] ya Sierra Leone. Akiwa mtoto mdogo wa miaka miwili alipata ajali mbaya alipoanguka chini kutoka gorofa la pili na kupasua [[paji lake la uso]]. Ilimulazimu kufanyiwa [[Upasuaji|operesheni]] iliomuacha na kovu kubwa usoni anayoivalia mpaka wa leo.<ref name=":2" />

Akiwa miaka sita aliponea chupu chupu kutekwa nyara na [[waasi]] wa kivita na mda mfupi baadaye alikimbilia Marekani kama [[mkimbizi]] asiye na kibali. Alikimbilia Jacksonville na kuungana na baadhi ya wanafamilia wake waliokuwa wamemtangulia na kujiunga na shule za marekani.<ref name=":2" />

Shuleni MB Salone alikuwa na wakati mgumu na hakuhitimu mitihani yake. Mara kwa mara alijipata taambani tokana na uchechi wake na utovu wa nidhamu uliochangia pakubwa kufeli mitihani.<ref name=":4" /> Akiwa darasa la saba unga ulizidi maji na akatiwa mbaroni alipoiba duka la Target [[Jacksonville, Florida]] Shauku yake ya muziki ilikuwa inakita mizizi na mwaka wa 2007 akiwa shule ya upili ya Wolfson mle Jacksonville Florida alikuwa ashaanza kutengeneza mindondo ya R&B and Trap. Kwa bahati mbaya uundaji wa midundo ulikuwa unachukua muda wake mwingi na masomo yake shuleni yaliendelea kudidimia na hatimaye alifukuzwa shuleni akiwa mwaka wake wa mwisho kwa kutohudhuria darasa mara mingi. MB Salone alibahatika kurudi shuleni na mwaka wa 2014 akajiunga na chuo cha kiufundi cha wanajamii ya Prince Georges ([[Prince George's Community College]]) iliyoko Largo, katika [[Prince George's|kaunti ya Prince George's]], [[Maryland]] . Alifuzu programu ya GED na akapata stashahada yake mwaka wa 2015.<ref name=":2" />

== Utayarishaji Rekodi ==
Maisha ya MB Salone katika muziki ilianza mwaka wa 2001 alipokutana naye Fred Marshall nje ya duka la dawa la Walreens Atlanta akiuza rekodi alizokuwa ameunda. Fred Marshall alifurahishwa na kazi yake na akachukua hatua ya kumjulishana naye Mike Snotty Miller, Sonny Digital na Dj UNK.<ref name=":2" />

Mike Snooty Miller alimchukua MB Salone kama mwanafunzi wake na kumfunza sanaa ya uundaji rekodi. MB Salone alishilikiana naye Mike Snooty katika kazi mingi ikiwemo rekodi "Carousel" yake Kylie Beniamino na kadhaa za Dj Unk. Pia alifanya kazi na wanamuziki wengine wengi ikiwemo Yung Dro, T. Rone, Tokyo Jetz na wengine wengi waliokuwa wanaanzia uimbaji.<ref name=":0" /><ref name=":2" /> Mwaka wa 2017 MB Salone alipatiwa nafasi kufanya kazi naye Lil Key na akiwa naye Mr. Wilson waliunda kibao chake "Short Right There". Kibao hiki kifakiwa kutumika na MTV baadaye katika vipindi zake "My Super 16" na kipindi "Rap Game" msimu wa pili. MB Slone pia aliunda video ya rekodi hii akishirikiana naye DJ. J. Remy.<ref name=":2" />

Mbali na kuwasaidia wanamuziki wengine, MB Salone pia arishirikia naye T. Rone mwaka 2017 wakatoa wimbo "Main Lady". <ref>{{Cite web|url=http://thisis50.ning.com/profiles/blogs/exclusive-feature-mb-salone-main-lady|title=Exclusive Feature: MB Salone - Main Lady|author=Now Hip Hop|date=13 May 2017|language=en-US|work=Thisis50 Website|accessdate=12 July 2018}}</ref> na February mwaka uliofuata wa 2018 alitoa albamu yake ya muziki wa ala (instrumentals) yenye traki kumi na sita.<ref name=":3" />

== Diskografia ==

==== Albamu za kujitegemea ====

* 2018: “Da Plag”<ref>{{Cite web|url=https://www.discogs.com/release/11576579|title=MB Salone - Da Plug|language=en|work=Discogs|accessdate=2018-07-12}}</ref>, albamu ya muziki wa ala (instrumentals) yake MB Salone aiyoitayarisha mwenyewe - Medialegendz LLC

==== Kazi Alizotayarisha ====

* 2017: "Short Right There" – Lil Key (MB Salone alitayarisha rekodi akishirikia naye Bwana Wilson na video akishirikiana naye DJ J. Remy)
* 2018: "The Word"<ref>{{Citation|last=|first=|title=‎The World (feat. Zay Hilfigerrr) - Single by City Of Angelo|date=22 June 2018|url=https://itunes.apple.com/ca/album/the-world-feat-zay-hilfigerrr-single/1400737442|volume=|pages=|language=en-CA|access-date=12 July 2018}}</ref> – City of Angelo akishirikiana naye Zay Hilfigerrr (iliyotalishwa na MB Salone) - Medialegendz LLC

==== Kazi Alizoshirikishwa ====

* 2017: "Main Lady"<ref>{{Cite web|url=https://www.discogs.com/MB-Salone-T-Rone-Main-Lady/release/11549751|title=MB Salone, T. Rone - Main Lady|language=en|work=Discogs|accessdate=2018-07-12}}</ref> – MB Salone akishirikiana naye T. Rone (iliyotayarishwa na MB Salone) - Medialegendz LLC

== Tuzo na Uteuzi ==
{{awards table}}

| 2012
| MB Salone mwenyewe
| Tuzo za Almasi za Duval (Duval Diamond Awards) – mtayarishaji rekodi wa mwaka
| {{nom|aliteuliwa}}

|2013
| MB Salone mwenyewe
| Tuzo za Almasi za Duval (Duval Diamond Awards) – mtayarishaji rekodi wa mwaka
|{{nom|aliteuliwa}}
|-i
|2014
| MB Salone mwenyewe
| Tuzo za Almasi za Duval (Duval Diamond Awards) – mtayarishaji rekodi wa mwaka
|{{nom|aliteuliwa}}

|2015
| MB Salone mwenyewe
| Tuzo za Almasi za Duval (Duval Diamond Awards) – mtayarishaji rekodi wa mwaka
|{{nom|aliteuliwa}}

|2016
| MB Salone mwenyewe
| Tuzo za Almasi za Duval (Duval Diamond Awards) – mtayarishaji rekodi wa mwaka
|{{nom|aliteuliwa}}

|2018
| MB Salone mwenyewe
| Tuzo za Wananchi wa Africa Magharibi (The West African Citizen Awards) – mtayarishaji rekodi wa mwaka
|{{nom|ameteuliwa (''tuzo bado kupeanwa'')}}

{{end}}

== Kazi Zingine ==
Mbali na kutayarisha rekodi MB Salone pia ni mhariri wa blogu. Yeye ni mmoja wa wahariri wakuu wa blogu [[" Thisis50"]] yake mwanamuziki [[50 Cent]] chini ya ukurasa wa tofuti [http://thisis50.ning.com/profile/MBSalone "MB Salome's Page"].<ref name=":0" /><ref name=":2" />

MB Salone pia ni mpiga picha wateja wake wakiwemo watu mashuhuri kama vile Lawrence Robinson, Alton Williams, Mekhi Phifer, na pia mwamichezo Gabby Douglas.<ref name=":0" /> . Yeye pia ni mmoja wapo wa wapiga picha wa kampuni ya nywele RPG Hair.<ref name=":0" /><ref name=":2" /><ref name=":3" />

== Marejereo ==
{{Marejeo}}

== Viungo za nje ==

* http://thisis50.ning.com/profile/MBSalone
* https://www.mbsalone.com/