Elimu : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
→‎Teknolojia: ujumbe zaidi kuhusu teknolojia katika elimu
Mstari 101:
 
Teknolojia inatumiwa sio tu katika wajibu wa kutawala katika elimu bali pia katika kuwaelekeza wanafunzi. Matumizi ya teknolojia kama vile virusha maandishi (power point) na ubao mweupe hutumiwa kunasa akili za wanafunzi darasani. Teknolojia vilevile hutumiwa kuwatahini wanafunzi. Mfano mzuri ni mfumo wa kuvutia hadhira (ARS),ambao huruhusu majibu ya mitihani moja kwa moja pamoja na majadiliano darasani.
 
Teknolojia pia imekuwa moja wapo wa maktabaa katika elimu ambamo vitabu, ripoti za utafiti, tansifu n.k. huchapichwa. Tovuti zinazochapichwa vitabu, ripoti na tansifu zimekuwa za manufaa kwa wasomi. Zinawapa uwezo wa kupata vitabu maalum wanazo kwa ujumbe fulani tofauti na maktaba za kizama ambazo humlazimu mtu kusoma kwa urefu na upana kupata ule ujumbe. Tofuti hizi hufuata mpangilio zingine zikiruhusu watumizi kupakua vitabu bila malipo zingine zina malipo ya mda ilhali zingine hulazimu mtu kununua kile kitabu anacho kihitaji.<ref>{{Cite web|url=https://citationsy.com/blog/download-research-papers-scientific-articles-free-scihub/|title=How to Download Research Papers and Scientific Articles for free|author=Citationsy|date=2018-11-29|language=en|work=The Citationsy Blog|accessdate=2018-12-05T07:44:12Z}}</ref>
 
[[Teknolojia za habari na mawasiliano]] (ICT) ni "seti ya vifaa na rasilimali mbalimbali zinazotumiwa kuwasiliana, kuunda, kueneza na kuongoza habari."<ref>{{cite web | last = Blurton | first = Craig|title = New Directions of ICT-Use in Education| url=http://www.unesco.org/education/educprog/lwf/dl/edict.pdf |accessdate = 2007-02-06|format=PDF}}</ref> Teknolojia hizi ni pamoja na kompyuta, mtandao, teknolojia za kusambaza habari (redio na televisheni) na simu (kuongea na pia kwa [[ujumbe wa maandishi]]). Kuna mvuto unaoongezeka kuhusu namna tarakilishi na mtandao zinavyoweza kuimarisha elimu katika viwango vyote, yaani mseto wa elimu rasmi na ile isiyo rasmi.<ref> [[b:ICT in Education|IKT katika Elimu]]</ref>