Elimu : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
→‎Teknolojia: ujumbe zaidi kuhusu teknolojia katika elimu
Mstari 98:
=== Teknolojia ===
[[File:OLPC Haiti.jpg|thumb|right|Tarakilishi mpakato zikitolewa kwa watoto wa [[Haiti]].]]
[[Teknolojia]] ni kigezo muhimu katika elimu. [[Tarakilishi]] na [[simu]] za [[rununu]] zinatumiwa katika nchi zilizoendelea kuimarisha elimu iliyothibitishwa na kukuza njia mpya za elimu kama vile elimu ya mtandao (masomo ya mbali). Wanafunzi hupata fursa ya kuchagua wanachotaka kusoma. Kuenea kwa tarakilishi pia kunamaanisha kuongezeka kwa programu za kompyuta na kuongeza habari mtandaoni. Teknolojia hutoa vifaa muhimu vinavohitaji ujuzi mpya na uelewa wa wanafunzi zikiwemo njia nyingi za mawasiliano, na huleta njia mpya za kuhusisha wanafunzi kama vile mazingira ya kujifunza.
 
Kuenea kwa tarakilishi pia kunamaanisha kuongezeka kwa programu za kompyuta na kuongeza habari mtandaoni. Teknolojia hutoa vifaa muhimu vinavohitaji ujuzi mpya na uelewa wa wanafunzi zikiwemo njia nyingi za mawasiliano, na huleta njia mpya za kuhusisha wanafunzi kama vile mazingira ya kujifunza.
Teknolojia inatumiwa sio tu katika wajibu wa kutawala katika elimu bali pia katika kuwaelekeza wanafunzi. Matumizi ya teknolojia kama vile virusha maandishi (power point) na ubao mweupe hutumiwa kunasa akili za wanafunzi darasani. Teknolojia vilevile hutumiwa kuwatahini wanafunzi. Mfano mzuri ni mfumo wa kuvutia hadhira (ARS),ambao huruhusu majibu ya mitihani moja kwa moja pamoja na majadiliano darasani.
 
Teknolojia inatumiwa siosi tu katika wajibu wa kutawala katika elimu bali pia katika kuwaelekeza wanafunzi. Matumizi ya teknolojia kama vile virusha maandishi (power point) na ubao mweupe hutumiwa kunasa akili za wanafunzi darasani. Teknolojia vilevile hutumiwa kuwatahini wanafunzi. Mfano mzuri ni mfumo wa kuvutia hadhira (ARS),ambao huruhusu majibu ya mitihani moja kwa moja pamoja na majadiliano darasani.
Teknolojia pia imekuwa moja wapo wa maktabaa katika elimu ambamo vitabu, ripoti za utafiti, tansifu n.k. huchapichwa. Tovuti zinazochapichwa vitabu, ripoti na tansifu zimekuwa za manufaa kwa wasomi. Zinawapa uwezo wa kupata vitabu maalum wanazo kwa ujumbe fulani tofauti na maktaba za kizama ambazo humlazimu mtu kusoma kwa urefu na upana kupata ule ujumbe. Tofuti hizi hufuata mpangilio zingine zikiruhusu watumizi kupakua vitabu bila malipo zingine zina malipo ya mda ilhali zingine hulazimu mtu kununua kile kitabu anacho kihitaji.<ref>{{Cite web|url=https://citationsy.com/blog/download-research-papers-scientific-articles-free-scihub/|title=How to Download Research Papers and Scientific Articles for free|author=Citationsy|date=2018-11-29|language=en|work=The Citationsy Blog|accessdate=2018-12-05T07:44:12Z}}</ref>
 
Teknolojia pia imekuwa moja wapomojawapo wa maktabaamaktaba katika elimu ambamo vitabu, ripoti za utafiti, tansifu n.k. huchapichwahuchapishwa. Tovuti zinazochapichwazinazochapishwa vitabu, ripoti na tansifu zimekuwa za manufaa kwa wasomi. Zinawapa uwezo wa kupata vitabu maalum wanazo kwa ujumbe fulani tofauti na maktaba za kizama ambazo humlazimu mtu kusoma kwa urefu na upana kupata ule ujumbe. TofutiTofuati hizi hufuata mpangilio, zinginenyingine zikiruhusu watumizi kupakua vitabu bila malipo, zinginenyingine zina malipo ya mdamuda, ilhali zinginenyingine hulazimu mtu kununua kile kitabu anacho kihitajianachokihitaji.<ref>{{Cite web|url=https://citationsy.com/blog/download-research-papers-scientific-articles-free-scihub/|title=How to Download Research Papers and Scientific Articles for free|author=Citationsy|date=2018-11-29|language=en|work=The Citationsy Blog|accessdate=2018-12-05T07:44:12Z}}</ref>
[[Teknolojia za habari na mawasiliano]] (ICT) ni "seti ya vifaa na rasilimali mbalimbali zinazotumiwa kuwasiliana, kuunda, kueneza na kuongoza habari."<ref>{{cite web | last = Blurton | first = Craig|title = New Directions of ICT-Use in Education| url=http://www.unesco.org/education/educprog/lwf/dl/edict.pdf |accessdate = 2007-02-06|format=PDF}}</ref> Teknolojia hizi ni pamoja na kompyuta, mtandao, teknolojia za kusambaza habari (redio na televisheni) na simu (kuongea na pia kwa [[ujumbe wa maandishi]]). Kuna mvuto unaoongezeka kuhusu namna tarakilishi na mtandao zinavyoweza kuimarisha elimu katika viwango vyote, yaani mseto wa elimu rasmi na ile isiyo rasmi.<ref> [[b:ICT in Education|IKT katika Elimu]]</ref>
 
[[Teknolojia za habari na mawasiliano]] (ICT) ni "seti ya vifaa na rasilimali mbalimbali zinazotumiwa kuwasiliana, kuunda, kueneza na kuongoza habari."<ref>{{cite web | last = Blurton | first = Craig|title = New Directions of ICT-Use in Education| url=http://www.unesco.org/education/educprog/lwf/dl/edict.pdf |accessdate = 2007-02-06|format=PDF}}</ref> Teknolojia hizi ni pamoja na kompyuta, mtandao, teknolojia za kusambaza habari (redio na televisheni) na simu (kuongea na pia kwa [[ujumbe wa maandishi]]). Kuna mvuto unaoongezeka kuhusu namna tarakilishi na mtandao zinavyowezavinavyoweza kuimarisha elimu katika viwango vyote, yaani mseto wa elimu rasmi na ile isiyo rasmi.<ref> [[b:ICT in Education|IKT katika Elimu]]</ref>
 
Teknolojia za habari na mawasiliano za awali, kama vile [[redio]] na [[televisheni]], zimetumiwa kwa zaidi ya miaka 40 kwa elimu wazi na ile ya mbali, hata hivyo kupiga chapa ndiyo njia nafuu zaidi, inapatikana kwa urahisi, na hivyo basi ni mbinu iliyotawala katika nchi zilizoendelea na zile zinazoendelea.<ref>{{cite web | last = Potashnik, M. and Capper, J. | title = Distance Education:Growth and Diversity | url=http://www.worldbank.org/fandd/english/pdfs/0398/0110398.pdf| accessdate = 2007-02-06|format=PDF|archiveurl=http://web.archive.org/web/20000919132928/http://www.worldbank.org/fandd/english/pdfs/0398/0110398.pdf|archivedate=2000-09-19}}</ref>
Line 112 ⟶ 114:
[[Chuo Kikuu cha Uingereza]] (UKOU) kilichoanzishwa mwaka wa 1969 kama taasisi ya elimu ya kwanza ulimwenguni kujitolea kutoa elimu ya wazi na ya mbali, bado hutegemea vifaa vilivyopigwa chapa na kuongezea redio, runinga na kompyuta.<ref> [http://www.open.ac.uk Open University wa Uingereza] Official website</ref> Vivyo hivyo, Chuo Kikuu cha Indira Gandhi nchini [[India]] huweka pamoja matumizi ya chapa, sauti zilizorekodiwa, video, redio, televisheni na teknolojia ya vielezo vya kusikiza mkutano.<ref> [http://www.ignou.ac.in Indira Gandhi Taifa Open University] Official website</ref>
 
Dhana ya “masomo yanayosaidiwa kwana kompyuta” (CAL) limetumiwa kwa wingi kuelezea teknolojia katika masomo.
 
== Nadharia ya elimu ==