Svalbard : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d →‎Viungo vya Nje: All info is kept in Wikidata, removed: {{Link FA|af}} using AWB (10903)
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Sv-map.png|thumb|[[Ramani]] ya SvalbergSvalbard.]]
'''Svalbard''' ni ''[[jina]] la [[funguvisiwa]]'' chala [[Norwei]] katika [[Bahari ya Aktika]].
 
Iko katikati ya Norwei na [[ncha ya kaskazini]].
 
Kuna wakazi 2,756 kwenye [[visiwa]] vitatu vya [[Spitsbergen]], [[Bjørnøya]] na [[Hopen]]. [[Makao makuu]] ni mji mdogo[[kijiji]] wacha [[Longyearbyen]].
'''Svalbard''' ni ''[[funguvisiwa]]'' cha [[Norwei]] katika [[Bahari ya Aktika]].
Iko katikati ya Norwei na ncha ya kaskazini.
 
Mkataba wa kimataifa wa Svalbard umekubali ya kwamba funguvisiwa ikoliko chini ya Norwei lakini kuna masharitimasharti fulani. [[Raia]] wa nchi zote 40 zilizotia [[sahihi kwenye]] mkataba huo wana [[haki]] ya kuingia na kufanya shughuli zao. Hivyo kuna mjikijiji wacha Kirusi wa [[Barentsburg]] ambako [[Warusi]] wanachimba [[madini]].
Kuna wakazi 2,756 kwenye visiwa vitatu vya [[Spitsbergen]], Bjørnøya na Hopen. Makao makuu ni mji mdogo wa [[Longyearbyen]].
 
Mkataba wa kimataifa wa Svalbard umekubali ya kwamba funguvisiwa iko chini ya Norwei lakini kuna mashariti fulani. Raia wa nchi zote 40 zilizotia sahihi kwenye mkataba wana haki ya kuingia na kufanya shughuli zao. Hivyo kuna mji wa Kirusi wa [[Barentsburg]] ambako Warusi wanachimba madini.
 
== Viungo vya Nje ==
* [http://www.sysselmannen.svalbard.no/eng/ Governor of Svalbard Official site]
<br clear="right">
 
{{Mbegu-jio-Norwei}}
 
{{Ulaya}}
 
[[Jamii:Norwei]]
[[Jamii:Aktiki]]
[[Jamii:Visiwa vya Bahari ya Aktiki]]