Funguvisiwa la Britania : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d Riccardo Riccioni alihamisha ukurasa wa Funguvisiwa ya Britania hadi Funguvisiwa la Britania: usahihi wa jina
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:LocationBritishIsles.png|thumb|250px|Visiwa vya Britania]]
'''Funguvisiwa yala Britania''' ni [[kundi]] la [[visiwa]] vya [[Ulaya]] ya [[kaskazini]]-[[magharibi]]. Jumla ni visiwa 6,000 vyenye eneo la [[km²]] 315,134 km² lakini ni hasa visiwa viwili vikubwa, vichache vya wastani na vingi vidogo.
 
Visiwa vikubwa ni hasa:
* kisiwa cha [[Britania]] (km² 229,850 km²) chenye nchi za [[Uingereza]], [[Uskoti]] na [[Welisi]].
* kisiwa cha [[Ueire]] (km² 84,421 km²) chenye nchi za Ueire na [[Ueire ya Kaskazini]] ambayo pamoja na Britania ni sehemu ya [[Ufalme wa Muungano]]
 
Visiwa vidogo zaidikiasi ni :
* [[Isle of Man|Man]]
* [[Kisiwa cha Wight]]
{{mbegu-jio-Ulaya}}
 
[[Jamii:Visiwa vya Atlantiki]]
[[Jamii:Jiografia ya Ulaya]]
[[Jamii:Ufalme wa Muungano]]
[[Jamii:Ireland]]