Tofauti kati ya marekesbisho "Visiwa vya Mariana"

no edit summary
d (Bot: Migrating 50 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q153732 (translate me))
No edit summary
[[Picha:Casta Marianas.jpg|thumb|right|450px|]]
'''Visiwa vya Mariana''' ni [[funguvisiwa]] yala [[Pasifiki]] ya [[magharibi]], takriban katikati ya [[Papua Guinea Mpya]] na [[Japani]]. Vyahesabiwa kati ya [[visiwa]] vya [[Melanesia]].
 
Kwa jumla ni safu ya visiwa 15 vyenye [[asili]] ya kivolkeno[[volkeno]] kati ya [[anwani ya kijiografia|12 hadi 21N na mnamo 145E]].
 
Vyote ni [[maeneo ya ng'ambo ya Marekani]] inayotawala funguvisiwa hilo kama vitengo viwili vya pekee:
 
* [[Visiwa vya Mariana ya Kaskazini]] ambavyo ni idadi kubwa ya visiwa hivi na eneo lenye madaraka ya kujitawala
 
* [[Guam]] ambayo ni kisiwa kikubwa pekee ambacho ni kituo cha kijeshi cha Marekani.
{{mbegu-jio}}
 
{{DEFAULTSORT:Mariana, Visiwa vya}}
[[Jamii:Visiwa vya Pasifiki]]