Diego Garcia : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Addbot (majadiliano | michango)
d Bot: Migrating 44 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q184851 (translate me)
No edit summary
Mstari 1:
{| align=right
|-
| [[Picha:DiegoGarcia1.png|thumb|250px|right|LocationMahali map ofpa Diego Garcia]]
|-
| [[Picha:diegogarcia.jpg|thumb|250px|right|Kisiwa cha Diego Garcia kwa macho ya ndege]]
Mstari 7:
|}
 
'''Diego Garcia''' ni [[atolli]] ya [[Uingereza|Kiingereza]] katika [[Bahari Hindi]]. Ni sehemu ya [[funguvisiwa yala Chagos]] na leo kisiwa cha pekee chenye wakazi ambao ni [[wanajeshi]] wa [[Marekani]]. Ni kituo kikubwa cha kijeshi cha [[Marekani]] katika Bahari Hindi.
 
Kati ya miaka [[1850]] na [[1965]] kisiwa kilikuwa sehemu ya eneo[[koloni]] la [[Morisi]]. Mwaka 1965 ilitengwakilitengwa na Morisi pamoja na funguvisiwa yotelote. Mwaka [[1971]] Uingereza ilikodiilikodisha Diego Gracia kwa jeshi la Marekani. Waamerikaambao walitaka kuwa na kituo cha kijeshi kwenye Bahari Hindi katika mashindano yao na [[Umoja wa Kisovyeti]].
 
Katika miaka miwili iliyofuata wenyeji wote wa funguvisiwa waliondolewa visiwani., Wakahamishwawakahamishiwa na [[watoto]] wao wanaishi leo huko [[Mauritius]], [[Shelisheli]] na [[Uingereza]]. Wengi wao wanapigania haki ya kurudi. [[Mahakama]] ya Uingereza iliwaruhusu mwaka [[2000]] warudi tena lakini [[serikali]] imekataa mwaka [[2004]].
 
Diego Garcia ilikuwa kituo muhimu katika [[vita]] zavya Marekani huko [[Afghanistan]] na [[Irak]]. [[Ndege za kijeshi]] za aina [[B-52]] zinatoka hapa pamoja na [[Ndege (uanahewa)|ndege]] za kubeba [[petroli]].
 
Marekani ina pia kituo cha [[manowari]] zake kisiwani.
 
{{Afrika}}
{{mbegu-jio-Afrika}}
 
[[Jamii:Visiwa vya Afrika]]
[[Jamii:Eneo la ng'ambo la Uingereza]]